NnyaMbwate
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,678
- 1,204
Alipofanya ziara ya kukagua miradi inayosimamiwa na Serikali ya CCM Mkoani DSM, alisikika akitamka kuwa Hana Nyumba Kigamboni, bali dereva wake ndiye alikuwa akijenga kule. Mara Paap, Mstaafu kawa mkazi wa Kigamboni.Ajiandae kugombea serikali za mitaa,kumbe kajenga Kigamboni.
Ni yule yesu wa Ccm alitajwa na Lugola
Mkuu,umetumia lugha isiyo njema ,usimwite mtoto wa watu broilerAkatunze hilo broiler lake.
Masaki ni nyumba ya serikali yaani mkuu wa mkoa yoyote wa Dar anapewa nyumba kukaa pale, Huyu Bashite kabla ya madaraka alikuwa anakaa SinzaKwani ile ya masaki ni makazi yake binafsi? Apartment za Mwanza,na hostels zinasemekana niza baba yake wa kufikia a.k.a Yesu a.k.a jemedali a.k.a mzalendo namba moja.
An mihemko ya kijinga na anafanya siasa za chuki ikiwamo kujaribu kakna haki ya kuishi ya watu wengine. Tukio la Lissu intelijensia inasema ndio alikuwa Coordinator.ni kweli hana Brain ila mkuu kuna watu humchukia tu bila hata sababu, kuna siku humu nilimuuliza mtu kwanini hampendi jamaa hakunipa sababu
An mihemko ya kijinga na anafanya siasa za chuki ikiwamo kujaribu kakna haki ya kuishi ya watu wengine. Tukio la Lissu intelijensia inasema ndio alikuwa Coordinator.
Kwa ushamba alionao sidhani hata kama anajifunza. Mwenye akili angenyamaza angalau upepo uvume kwanzaTunajua atapata cheo kingine ila hili alilopitia na maoni ya watu,nadhani atakuwa amejifunza kitu kikubwa sana
Mjiandae Kupimwa sasa, maana kaacha hand over kwa kunenge πππkatika mambo kama hayo ni kweli ana kwama,kingine huwa ni mropokaji mkubwa kwa mfano jana amesema anachosikitika ni kutowapima tezi deme wanaume wa Dar nyumba hadi nyumba
Mjiandae Kupimwa sasa, maana kaacha hand over kwa kunenge πππ
amekaa na funguo kwasababu alikua haamini kama power imeisha saizi hadi marafiki wote watamkibiaDada mi nina amini huyu jamaa Jiwe hawezi kumuacha atampa cheo tena unaweza shangaa akarudishwa hapo hapo. We hujuulizi amekaa na funguo za ofisi wiki mbili tangu apigwe chini unadhani angekua mtu wa kawaida angepata wapi hiyo power.
Mwenye upeo kama wewe unashindwa kusoma hata alama za nyakati halafu unajiona unaakiliKwa ushamba alionao sidhani hata kama anajifunza. Mwenye akili angenyamaza angalau upepo uvume kwanza
Ha ha ha Sure.....Safari ya MWANADAMU indefu!!Watesi wake hapa wanapita tu huku wanasonya.
Hayajui Huyo!!Yaani wewe ndio umepotea kabisa, kwa taarifa yako Kunenge kapendekezwa na Makonda kuwa RC, hutaki acha