Makonda akabidhiwe Wizara ya NISHATI

Makonda akabidhiwe Wizara ya NISHATI

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Waliowengi wanaweza kua na shaka na utendaji wa Paul Makonda kwenye wizara kama waziri ila trust me mpaka hakuna ambacho kimekosekana kwenye wizara ya NISHATI ila umeme wa uhakika umekua kitendawili.

Kwa maoni yangu uwezo wa Makonda unahitajika katika wizara ya NISHATI sababu naamini uwezo wake katika kuhakikisha kila mtu anawajibika ipasavyo.
 
Zile nafasi kumi za rais kuteua wabunge zimeisha? Basi ateuliwe tu and then apate uteuzi wa uwaziri japo muda ni count down kuelekea uchaguzi mkuu
 
Waliowengi wanaweza kua na shaka na utendaji wa Paul Makonda kwenye wizara kama waziri ila trust me mpaka hakuna ambacho kimekosekana kwenye wizara ya NISHATI ila umeme wa uhakika umekua kitendawili.

Kwa maoni yangu uwezo wa Makonda unahitajika katika wizara ya NISHATI sababu naamini uwezo wake katika kuhakikisha kila mtu anawajibika ipasavyo.
Naunga mkono hoja..
Mzigo mzito mpe Mnyamwezi/Msukuma.
😁😁😁😁😁
 
nina imani unae mwanasheria mzuri wa kutetea ujunga wako
 
Umeme wa Uhakika sio issue ya Waziri, Ni issue ya Kisera a long term plan waziri hawezi kukurupuka tu uko ata kama awe mtendaji mzuri vipi bado kama Kuna Scarcity ujue hawezi kuindoa within a fraction of time, Inahitaji Strategies na Plan, Though Dotto Biteko Ni mtu makini sana Sana na kwa sasa kama Taifa hatuna tena Issue ya Mgao kwa sababu Bwawa la Mwalimu Nyerere linaelekea Kuwa Fully Operational kiasi kwamba kwa sasa kwenye Grid tuna Capacity ya wastani wa Megawatt 3180MW ambayo ni zaidi ya demand japo Ukuajia Pia wa matumizi unapanda kwa sababu ya issue ya Viwanda kuongezeka Ivo projection zimefanyika na Vyanzo mbalimbali Vinaanza Kuibuliwa ili kuwa Na energies mix sources,
Kuna Possibility pia ya Kuanza kufanya Cross border trading ya Umeme kwa sababu tayari tumesha Link na Kenya interm of Transmission lines
Kama stake holder nashauri Serikali kwa sasa iwekeze nguvu kubwa kwenye kufanya Refurbishment ya Miundo Mbinu Chakavu ya Umeme(Distribution networks) iyo ndio inawagusa direct wananchi haswa ikitokea hali ya hewa au majanga Iko likely kuwa affected
Budget ya wizara kwa mwaka wa Fedha huu ni Wastani wa 1.8trilion nimeona nguvu kubwa imepelekwa kwenye Usafirishaji (Transmission) na Kuimarisha Grid ila kwa View yangu Changamoto kubwa sana ipo Kwenye usambazaji japo na usafirishaji ni Muhimu ili Kulink izo source za uzalishaji na Kuondoa Mikoa iliyopo nje ya Grid kwa sababu Operational cost huwa juu sana Kuwa nje ya Grid
 
Sasa umeme wa uhakika yeye Makonda atautoa kolomije.
 
Back
Top Bottom