Makonda akasirika na kuvunja mkutano

Makonda akasirika na kuvunja mkutano

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.

View attachment 3001631
Nilichoelewa hapo ni kuwa baraza la madiwani ndiyo walipitisha makubaliano wa kujenga ila malipo wananchi wachangie, ila inaonekana wananchi waligoma na Halmashauri ikwa haijatenga bajeti ya hiyo kazi. Swali je nani alihusika kumruhusu kutekeleza tenda? Tatizo watu wetu uongo mwingi sana
 
Halimashauri nyingi nchini, zimemesabisha vifo vya ghafla na ama magonjwa mbali mbali ya presha na moyo kwa kudhulumu wakandarasi na ama kuwacheleweshea haki zao

Ajabu ni kwamba, wanaokuwa wanafanyiwa hayo ni wakandarasi wa ndani wenye ngozi nyeusi

Huu ni upumbavu mkubwa sana, na bado kuna wajinga wanawatetea viongozi aina hiyo

Ngozi nyeusi ni laana? Inauma sana,

Makonda, Utalipwa mema na Mungu, acha wapumbavu waendelee na upumbavu wao! Tetea kila mtu na usonge mbele
 
Nilichoelewa hapo ni kuwa baraza la madiwani ndiyo walipitisha makubaliano wa kujenga ila malipo wananchi wachangie, ila inaonekana wananchi waligoma na Halmashauri ikwa haijatenga bajeti ya hiyo kazi. Swali je nani alihusika kumruhusu kutekeleza tenda? Tatizo watu wetu uongo mwingi sana
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom