econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Acha kuongea uongo. Ni DPP tu ndio anaruhusiwa kufungua mashtaka. Hiyo process nyingine ni ndefu na bado DPP ana mamlaka ya kuifuta.Aliyetendewa ndo anaenda kufungua mashtaka. We ukiibiwa unasubiri Jamhuri ije fungua mashtaka? Huo ni uongo.