Makonda akasirika na kuvunja mkutano

Kwahiyo sababu ya Makonda kuvunjwa mkutano ni Nini?
 
Hii ndiyo inalingana na hoja iliyopo?

Mbona haya mambo yanamiaka mmne sasa? Mbona huendi mahakani mkuu

Hivi hujui kwa katiba yetu hii ya hovyo, hairuhusu mtu yeyote kufungua kesi ya jinai dhidi ya yeyote, isipokuwa DPP? Kwa katiba yetu hii ilivyo, hata kama jitu likaja hapo kwako likamwua mwanao huku ukiwepo, na hilo jambazi ukalitambua kwa jina na sura, bado DPP asipotaka kulifungulia kesi, wewe huna cha kufanya, zaidi ya kupiga kelele tu!! Ndiyo maana hili shetani, chini ya mwavuli wa "Wasiojulikana", lilisimamia mauaji mengi likiwa na uhakika wa kutoshtakiwa kwa sababu ushetani aliokuwa anaoufanya ulikuwa na baraka za mkuu wa Serikali.
 
KWANI HAKUJENGA?
 
Rubbish behind keyboards
 
Hii ndiyo inalingana na hoja iliyopo?

Mbona haya mambo yanamiaka minne sasa? Mbona huendi mahakani mkuu
Unajuwa suala la jinai ni nani mwenye jukumu la kwenda Mahakamani? Usijibu tu kishabiki kwa kuwa wewe ni mfuasi wa Makonda.

Jamhuri ndiyo yenye jukumu la kufungua mashtaka ya jinai
 


USHAHID? AU NI MAAMUZI TU SIKU HIZI UNAAMUA KUMCHUKIA MTU NA KUMSINGIZIA? HAYO YOTE KAYAFANYA MBOWE.
 
Unajuwa suala la jinai ni nani mwenye jukumu la kwenda Mahakamani? Usijibu tu kishabiki kwa kuwa wewe ni mfuasi wa Makonda.

Jamhuri ndiyo yenye jukumu la kufungua mashtaka ya jinai

Aliyetendewa ndo anaenda kufungua mashtaka. We ukiibiwa unasubiri Jamhuri ije fungua mashtaka? Huo ni uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…