Acha kuongea uongo. Ni DPP tu ndio anaruhusiwa kufungua mashtaka. Hiyo process nyingine ni ndefu na bado DPP ana mamlaka ya kuifuta.Aliyetendewa ndo anaenda kufungua mashtaka. We ukiibiwa unasubiri Jamhuri ije fungua mashtaka? Huo ni uongo.
nimempa mfano kuwa kwa style hii mnaweza sema hata haya yote aliyafanya komeo la Chuma. ushahidi ni muhimu upelekwe mahakamaniHalafu unamsema mwenzako.
wewe ndo muongo unajichanganya. yaani wewe upigwe au uibiwe kisha usuburi DPP aje akufungulie kesi??????????? wwewe huna akili. kama nihivyo kesi zingekuwa chache sana maana juzi tu hapa kuna jamaa yangu kapiga mtu aliyepigwa kaenda fungua kesi hakumsubiri DPP ajeAcha kuongea uongo. Ni DPP tu ndio anaruhusiwa kufungua mashtaka. Hiyo process nyingine ni ndefu na bado DPP ana mamlaka ya kuifuta.
Kwanini nimsingizie yeye Makonda na siyo Chongolo au Ally Hapi?USHAHID? AU NI MAAMUZI TU SIKU HIZI UNAAMUA KUMCHUKIA MTU NA KUMSINGIZIA? HAYO YOTE KAYAFANYA MBOWE.
Hujui kitu kwenye duru ya Katiba, Sheria na mashtaka kaa kimya. Unambishia econonist ambaye anakupa ukweliwewe ndo muongo unajichanganya. yaani wewe upigwe au uibiwe kisha usuburi DPP aje akufungulie kesi??????????? wwewe huna akili. kama nihivyo kesi zingekuwa chache sana maana juzi tu hapa kuna jamaa yangu kapiga mtu aliyepigwa kaenda fungua kesi hakumsubiri DPP aje
Pole mburura, ila waweza jifunza toka JF kujua tofauti ya civil case na criminal case preoceduresAliyetendewa ndo anaenda kufungua mashtaka. We ukiibiwa unasubiri Jamhuri ije fungua mashtaka? Huo ni uongo.
Si unachagua unayemchukia ili ushushe hasira na machungu yako. Mi nahisi wewe ndo uliwaua hao watu ukashtakiweKwanini nimsingizie yeye Makonda na siyo Chongolo au Ally Hapi?
Hujui kitu kwenye duru za sheria. Unamkubalia mwanaume kila anachotaka. Lazima uumie. Mi nakupa ukweli dogo kuwa makini utaharibikiwaHujui kitu kwenye duru ya Katiba, Sheria na mashtaka kaa kimya. Unambishia econonist ambaye anakupa ukweli
Division 5 aka vilaza mna shida sana. So umeshika hizo terms ukaona tayari you know? Basi subirieni mpaka DDP akifungua kesi. Achen makelele. Siyo mtu mkimshindwa mnamtafutia sababu.Pole mburura, ila waweza jifunza toka JF kujua tofauti ya civil case na criminal case preocedures
Acha uvivu Google. Siku hizi ujinga ni chaguo!Orangutan ndiyo nini
Makonda huyu huyu 🤣🤣Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
View attachment 3001631