GE2025 Makonda akipewa Uwaziri Mkuu, nchi itapitia kipindi kigumu sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Makonda nafasi ya uwaziri mkuu haimfai hata kidogo, na kama tetesi za kupigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi ni za kweli basi bila shaka Tanzania itajiweka nafasi mbaya mno kujenga uhusiano na baadhi ya nchi.

Historia ya Makonda hairidhishi , sasa mtu kama huyu kupewa nafasi ya juu zaidi kwenye uongozi haileti picha nzuri.
 
Kama wa kumpa uwaziri mkuu hayupo hadi wampe bashite si wampe kuku? Maana, haya hayawezi kuwa mapenzi ya kisiasa. Who knows?
 
Kama wa kumpa uwaziri mkuu hayupo hadi wampe bashite si wampe kuku? Who knows?
Laaanakum mtamaliza matusi yote sababu ndicho pekee mlichoachiwa na wazazi wenu. Wengine wamerithishwa adabu na hekma ndo maana majaliwa yanawafuata tu katikati ya chuki zenu zilizojaa wivu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wazungu wanasema; “Consummate bootlicker”

IMG_7728.jpeg
 
Laaanakum mtamaliza matusi yote sababu ndicho pekee mlichoachiwa na wazazi wenu. Wengine wamerithishwa adabu na hekma ndo maana majaliwa yanawafuata tu katikati ya chuki zenu zilizojaa wivu.
Hujui usemacho. Jikumbushe kisa cha Winnie Mandela na kijana mdogo Dali Mpofu. Nenda mitaani uone mimama mizima inavyoanguka na hata wajukuu zao. Acha ushamba na uzwazwa kutetea visivyotetewa.
 
Wakati Makonda anaaminiwa na JPM mlikuja na matusi yenu ya kiswahili hivi hivi badala ya kujifunza kwake ni nini anamiliki kiutendaji kinachomfanya ang'ae. Hebu kueni basi msiwe manyumbu yaliyopitiliza hivyo........
 
Umetumwa au wewe ndo bashiti mwenyewe. Umedandia hoja. Jibu hoja na siyo kuleta ujinga na ushamba. Wapi nimetukana wakati nimeuliza?
 
Laaanakum mtamaliza matusi yote sababu ndicho pekee mlichoachiwa na wazazi wenu. Wengine wamerithishwa adabu na hekma ndo maana majaliwa yanawafuata tu katikati ya chuki zenu zilizojaa wivu.
Laakum kadhalik shaitwan kabir ibn metnak. Kusumu sharmota kabir.
 
Makonda nafasi ya uwaziri mkuu haimfai hata kidogo, na kama tetesi za kupigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi ni za kweli basi bila shaka Tanzania itajiweka nafasi mbaya mno kujenga uhusiano na baadhi ya nchi.

Historia ya Makonda hairidhishi , sasa mtu kama huyu kupewa nafasi ya juu zaidi kwenye uongozi haileti picha nzuri.
Wampe uyo uyo bashite ili pazidi changamka
 
Umetumwa au wewe ndo bashiti mwenyewe. Umedandia hoja. Jibu hoja na siyo kuleta ujinga na ushamba. Wapi nimetukana wakati nimeuliza?
Hoja ipi nimedandia?!! Nipo kwenye hoja mama kabisa sawa na mada kwamba Makonda hafai kupewa uwaziri mkuu. Kuna mtu ametukana kwa kuwahusisha kimapesnzi Samia na Makonda ndipo hapo nilipoingilia kati. Nipo nje ya mada kivp Sasa?!!!
 
Back
Top Bottom