Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Wewe unahangaikia tumbo lako unawasifia ccm upate mlo wa siku. Tunawajua mko wengi tu humu🌈🌈 Tu wewe, haunisumbui!!
Wewe unahangaikia tumbo lako unawasifia ccm upate mlo wa siku. Tunawajua mko wengi tu humu🌈🌈 Tu wewe, haunisumbui!!
Mimi piaSiogopi matusi
Samia hawezi kufanya ilo kosa yaani waziri mkuu awe maarufu kuliko rais we uliona wapi?Makonda nafasi ya uwaziri mkuu haimfai hata kidogo, na kama tetesi za kupigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi ni za kweli basi bila shaka Tanzania itajiweka nafasi mbaya mno kujenga uhusiano na baadhi ya nchi.
Historia ya Makonda hairidhishi , sasa mtu kama huyu kupewa nafasi ya juu zaidi kwenye uongozi haileti picha nzuri.
Mganga wake ni nani?Hussein wa itel analoga ateuliwe hiyo nafasi
Nyandwi yupo Kazuramimba, KigomaMganga wake ni nani?
Akili zao zinafanana.Samia hawezi kufanya ilo kosa yaani waziri mkuu awe maarufu kuliko rais we uliona wapi?
Kaacha ukuu wa mkoa ili awe waziriMakonda ni kiongozi mzuri kwa wapumbavu waliokosa akili, kwa wanaojielewa hata ukatibu kata hapati
Hiyo inaeleweka mbona.nasubiri mnyukano wa samia na nchimbi hawa lazima wanyukane tu iwe isiwe nimekaa pale nakula chichirii
Sahihi..yule hana kabisa quality za kiuongozi..ni MUHUNI tuMakonda ni kiongozi mzuri kwa wapumbavu waliokosa akili, kwa wanaojielewa hata ukatibu kata hapati
Sio rahiso huko juu kuna vita kubwa sana na unafki mwingi.. yeye kutoa pendekezo na likawa ni jambo moja ila je na hao anaowategemea watampendekeza hivyohivyo hilo ni jambo lingine na hiko cheo ni kikubwa sana kupewa makonda..anamakando kando mengi hadi nje ya nchiAkili zao zinafanana.
Na kumbuka Makonda ndiye aliyetoa pendekezo Samia awe mgombea mwenza wa JPM.
nasubiri mnyukano wa samia na nchimbi hawa lazima wanyukane tu iwe isiwe nimekaa pale nakula chichirii