Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
AiseeHussein wa itel analoga ateuliwe hiyo nafasi
Kama wa kumpa uwaziri mkuu hayupo hadi wampe bashite si wampe kuku? Maana, haya hayawezi kuwa mapenzi ya kisiasa. Who knows?Makonda nafasi ya uwaziri mkuu haimfai hata kidogo, na kama tetesi za kupigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi ni za kweli basi bila shaka Tanzania itajiweka nafasi mbaya mno kujenga uhusiano na baadhi ya nchi.
Historia ya Makonda hairidhishi , sasa mtu kama huyu kupewa nafasi ya juu zaidi kwenye uongozi haileti picha nzuri.
Laaanakum mtamaliza matusi yote sababu ndicho pekee mlichoachiwa na wazazi wenu. Wengine wamerithishwa adabu na hekma ndo maana majaliwa yanawafuata tu katikati ya chuki zenu zilizojaa wivu.Kama wa kumpa uwaziri mkuu hayupo hadi wampe bashite si wampe kuku? Who knows?
Hujui usemacho. Jikumbushe kisa cha Winnie Mandela na kijana mdogo Dali Mpofu. Nenda mitaani uone mimama mizima inavyoanguka na hata wajukuu zao. Acha ushamba na uzwazwa kutetea visivyotetewa.Laaanakum mtamaliza matusi yote sababu ndicho pekee mlichoachiwa na wazazi wenu. Wengine wamerithishwa adabu na hekma ndo maana majaliwa yanawafuata tu katikati ya chuki zenu zilizojaa wivu.
Wakati Makonda anaaminiwa na JPM mlikuja na matusi yenu ya kiswahili hivi hivi badala ya kujifunza kwake ni nini anamiliki kiutendaji kinachomfanya ang'ae. Hebu kueni basi msiwe manyumbu yaliyopitiliza hivyo........Hujui usemacho. Jikumbushe kisa cha Winnie Mandela na kijana mdogo Dali Mpofu. Nenda mitaani uone mimama mizima inavyoanguka na hata wajukuu zao. Acha ushamba na uzwazwa kutetea visivyotetewa.
Umetumwa au wewe ndo bashiti mwenyewe. Umedandia hoja. Jibu hoja na siyo kuleta ujinga na ushamba. Wapi nimetukana wakati nimeuliza?Wakati Makonda anaaminiwa na JPM mlikuja na matusi yenu ya kiswahili hivi hivi badala ya kujifunza kwake ni nini anamiliki kiutendaji kinachomfanya ang'ae. Hebu kueni basi msiwe manyumbu yaliyopitiliza hivyo........
Laakum kadhalik shaitwan kabir ibn metnak. Kusumu sharmota kabir.Laaanakum mtamaliza matusi yote sababu ndicho pekee mlichoachiwa na wazazi wenu. Wengine wamerithishwa adabu na hekma ndo maana majaliwa yanawafuata tu katikati ya chuki zenu zilizojaa wivu.
Wampe uyo uyo bashite ili pazidi changamkaMakonda nafasi ya uwaziri mkuu haimfai hata kidogo, na kama tetesi za kupigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi ni za kweli basi bila shaka Tanzania itajiweka nafasi mbaya mno kujenga uhusiano na baadhi ya nchi.
Historia ya Makonda hairidhishi , sasa mtu kama huyu kupewa nafasi ya juu zaidi kwenye uongozi haileti picha nzuri.
Bashite amejiunga na wanamtandao na ndiye aliwapa password ya kumuua JPM.Kama wa kumpa uwaziri mkuu hayupo hadi wampe bashite si wampe kuku? Hivi, huyu bashiti na simia ni wapenzi au ni aje? Maana, haya hayawezi kuwa mapenzi ya kisiasa bali kibedini. Who knows?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππLaakum kadhalik shaitwan kabir ibn metnak. Kusumu sharmota kabir.
πLaaanakum mtamaliza matusi yote sababu ndicho pekee mlichoachiwa na wazazi wenu. Wengine wamerithishwa adabu na hekma ndo maana majaliwa yanawafuata tu katikati ya chuki zenu zilizojaa wivu.
Hoja ipi nimedandia?!! Nipo kwenye hoja mama kabisa sawa na mada kwamba Makonda hafai kupewa uwaziri mkuu. Kuna mtu ametukana kwa kuwahusisha kimapesnzi Samia na Makonda ndipo hapo nilipoingilia kati. Nipo nje ya mada kivp Sasa?!!!Umetumwa au wewe ndo bashiti mwenyewe. Umedandia hoja. Jibu hoja na siyo kuleta ujinga na ushamba. Wapi nimetukana wakati nimeuliza?
ππ Tu wewe, haunisumbui!!π
Siogopi matusiππ Tu wewe, haunisumbui!!