GE2025 Makonda akipewa Uwaziri Mkuu, nchi itapitia kipindi kigumu sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mikono yake ina damu nyingi za wapinzani. He will be the worst prime minister ever appointed.

Ni kama miaka inavyozidi kwenda wale top brilliants wanapungua ccm wanabaki watu wa hapa na pale. Wale wa kuchonga vyeti kwa wanaijeria vya india. Uk na wale wa kuzuga Esami.
 
Samia hawezi kufanya ilo kosa yaani waziri mkuu awe maarufu kuliko rais we uliona wapi?
 
Atashika nafasi ya Biteko, naibu w/mkuu ila sasa atakuwa na sauti afu nyang'au kuliko hata w/mkuu na rais
 
Samia hawezi kufanya ilo kosa yaani waziri mkuu awe maarufu kuliko rais we uliona wapi?
Akili zao zinafanana.

Na kumbuka Makonda ndiye aliyetoa pendekezo Samia awe mgombea mwenza wa JPM.
 
Laana inanmtafuna.

Damu za watu alizozimwaga zinamtia wazimu
 
Akili zao zinafanana.

Na kumbuka Makonda ndiye aliyetoa pendekezo Samia awe mgombea mwenza wa JPM.
Sio rahiso huko juu kuna vita kubwa sana na unafki mwingi.. yeye kutoa pendekezo na likawa ni jambo moja ila je na hao anaowategemea watampendekeza hivyohivyo hilo ni jambo lingine na hiko cheo ni kikubwa sana kupewa makonda..anamakando kando mengi hadi nje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…