Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwa aina ya uongozi wa CCM hasa kipindi hiki cha awamu ya sita Makonda alikuwa sahihi sana katika nafasi ya uenezi.
Bila shaka aliitendea nafasi hili hata wapinzani naamini wanafahamu kabisa.
Sijajua kwa sababu gani kaondoshwa na yupi ataletwa kuzimba pengo.
Aliifufua CCM wenda kuliko hata mwenyekiti wake wa chama hasa katika kundi la Watanzania wengi wajinga, Makonda ilikuwa rahisi zaidi kuwachota kitu ambacho ni faida kwa CCM.
Kuelekea uchaguzi watahitaji mwenezi wa kuendana na kasi ijayo.
Yote kwa yote mambo yao CCM nawaachia wenyewe.