Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Nape atafaaKwa aina ya uongozi wa CCM hasa kipindi hiki cha awamu ya sita Makonda alikuwa sahihi sana katika nafasi ya uenezi.
Bila shaka aliitendea nafasi hili hata wapinzani naamini wanafahamu kabisa.
Sijajua kwa sababu gani kaondoshwa na yupi ataletwa kuzimba pengo.
Aliifufua CCM wenda kuliko hata mwenyekiti wake wa chama hasa katika kundi la Watanzania wengi wajinga, Makonda ilikuwa rahisi zaidi kuwachota kitu ambacho ni faida kwa CCM.
Kuelekea uchaguzi watahitaji mwenezi wa kuendana na kasi ijayo.
Yote kwa yote mambo yao CCM nawaachia wenyewe.
πππππ₯π₯Watajuana wenyewe Kwa wenyewe,kazi yangu ni kuweka takwimu ila mambo ya siasa watajua Wanasiasa.
MRUDISHE KTK HIYO NAFASI MKUU KAMA ANAFAA Kumbuka waliompa UENEZI waliamini atafanya vizuri kama unavyodhani weweKwa aina ya uongozi wa CCM hasa kipindi hiki cha awamu ya sita Makonda alikuwa sahihi sana katika nafasi ya uenezi.
Bila shaka aliitendea nafasi hili hata wapinzani naamini wanafahamu kabisa.
Sijajua kwa sababu gani kaondoshwa na yupi ataletwa kuzimba pengo.
Aliifufua CCM wenda kuliko hata mwenyekiti wake wa chama hasa katika kundi la Watanzania wengi wajinga, Makonda ilikuwa rahisi zaidi kuwachota kitu ambacho ni faida kwa CCM.
Kuelekea uchaguzi watahitaji mwenezi wa kuendana na kasi ijayo.
Yote kwa yote mambo yao CCM nawaachia wenyewe.
Makonda ni populist. Aliendekeza show binafsi kwenye majukumu ya kitaifa!Kwa aina ya uongozi wa CCM hasa kipindi hiki cha awamu ya sita Makonda alikuwa sahihi sana katika nafasi ya uenezi.
Bila shaka aliitendea nafasi hili hata wapinzani naamini wanafahamu kabisa.
Sijajua kwa sababu gani kaondoshwa na yupi ataletwa kuzimba pengo.
Aliifufua CCM wenda kuliko hata mwenyekiti wake wa chama hasa katika kundi la Watanzania wengi wajinga, Makonda ilikuwa rahisi zaidi kuwachota kitu ambacho ni faida kwa CCM.
Kuelekea uchaguzi watahitaji mwenezi wa kuendana na kasi ijayo.
Yote kwa yote mambo yao CCM nawaachia wenyewe.
CCM ina watu wa kutosha....Kwa aina ya uongozi wa CCM hasa kipindi hiki cha awamu ya sita Makonda alikuwa sahihi sana katika nafasi ya uenezi.
Bila shaka aliitendea nafasi hili hata wapinzani naamini wanafahamu kabisa.
Sijajua kwa sababu gani kaondoshwa na yupi ataletwa kuzimba pengo.
Aliifufua CCM wenda kuliko hata mwenyekiti wake wa chama hasa katika kundi la Watanzania wengi wajinga, Makonda ilikuwa rahisi zaidi kuwachota kitu ambacho ni faida kwa CCM.
Kuelekea uchaguzi watahitaji mwenezi wa kuendana na kasi ijayo.
Yote kwa yote mambo yao CCM nawaachia wenyewe.
Ni jambo jema umefanya.Yote kwa yote mambo yao CCM nawaachia wenyewe.