Makonda alipata wapi Hela za kununua ng'ombe 400 ambazo nyama yake iligawiwa bure kwa Walaji?

Nyama tulinunua 5,000 kwa nusu kg!
Hakuna nyama ya Bure Arusha,iliyotolewa na makonda
Waambie waache Ujinga.Kwanza watu wa Arusha kula nyama choma ni Desturi yao na wala hawahitaji Msukumu kutoka Kolomije Awape nyama za Bure.Na Pia nyama zao hazikuwa na Viwango tunavyohitaji So wengi tuliendelea kula nyama zetu ambazo hazina viungo,zina moshi wa mkaa,zinaiva taratibu na zinakuwa na ladha fulani ya mchanganyiko wa damu na nyama.
 
Mkuu CCM NI MACHIZI HIZO PESA ZIMECHOTWA HALMASHAURI YA ARUSHA
 
Hawa ndio waliiba zile hela Gambo alisema.

Viongozi majizi na wahuni wasio na maana kama Hawa sijui wanafanya nini kwenye madaraka.
 
Huyu ndo mmpe uenyekiti Chadema, hiyo tone tone na ombaomba zitaisha kabisa, siyo kuja kulialia humu eti katoa wapi hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…