Makonda alipata wapi Hela za kununua ng'ombe 400 ambazo nyama yake iligawiwa bure kwa Walaji?

Makonda alipata wapi Hela za kununua ng'ombe 400 ambazo nyama yake iligawiwa bure kwa Walaji?

Makonda anautabisha mji wa Arusha hatari;
1. Kila matukio makubwa kuna watu walazimishwa kuchangia
2. Matukio ya mara kwa mara yanaleta foleni siyo na tija
 
Mtoa mada naona baada ya kujibiwa swali lako unapandisha swali lingine juu Kwa juu, shida nini mzee!? Hoja Yako ni ipi?
 
Wasukuma na kafara za kuchinja wanyama ili wapate wanachokitaka ni jambo la kawaida uganga huo umezoeleka mno.
 
Mkuu,
ofisi ya mkuu wa mkoa haina bajeti ya kuwezesha manunuzi ya ng’ombe wote hao, kinachofanyika ni kuwaconsult wadau wake wa maendeleo, ambao kwa mkoa wa Arusha kuna kampuni za utalii na wafanyabiashara wakubwa wa madini.
Anaandaa tu proposal yake anaiwasilisha kwao.

Anapata fedha nyingi mpaka kuvuka lengo.
Watakuwa wamekula manyumbu ya Tanapa hao.
Nchi hii ina waongo sana.
Mwijaku na Baba Revo wameleta utamaduni wa kuongopea watu..yaani kuongopea watu imekuwa nayo ni sifa.

Ngombe wa milioni leo ni kawaida sana.
 
Back
Top Bottom