Makonda alipata wapi Hela za kununua ng'ombe 400 ambazo nyama yake iligawiwa bure kwa Walaji?

Aliagiza
Halmashauri ziliagizwa kuchangia kila Halmashauri ilichangia ng'ombe 1 , kondoo 9, mbuzi 8
Bado mashirika kama NCAA , TANAPA pia yaliagizwa , NGOs na CBOs pia
 
Kodi unayolipa ni nyingi sana na sidhani kama lipo kosa ikitumika katika tafrija maalum zinazoandaliwa na mkuu wa mkoa.
 
Ulikuwepo? Ulikula?

Ikiwa ulishiba achana na maswali. Tafuta hela usiulize wenzio wanapata wapi, uliza wanakozitoa uelekezwe ufuate
 
Kalia kuuliza alipata wapi hela wakati watu wanatumia hela
 
Jumla yotye inaweza kufika 300 million.
Sasa kweli millioni 300 haziwezi kukusanywa na matajiri tuu.
Mo , Gsm na Bakhressa hawa na wengine wanaweza changa mara moja tuu.
 
Jumla yotye inaweza kufika 300 million.
Sasa kweli millioni 300 haziwezi kukusanywa na matajiri tuu.
Mo , Gsm na Bakhressa hawa na wengine wanaweza changa mara moja tuu.
Hizo ndio shida za Wananchi?
 
Cc
BODI ya ligi
 
Ngoja waje BODI ya ligi
 
🤣🤣🤣 bongo bhana uspende kuadthiwa ivi unajua ng'ombe 400? Aiseee kwa kukumbuka pale Arusha meat ng'ombe zliletwa 80 kondoo na mbuz 70 na nyumbu kazaa hyo 400 maneno tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…