Makonda alipata wapi Hela za kununua ng'ombe 400 ambazo nyama yake iligawiwa bure kwa Walaji?

Makonda anautabisha mji wa Arusha hatari;
1. Kila matukio makubwa kuna watu walazimishwa kuchangia
2. Matukio ya mara kwa mara yanaleta foleni siyo na tija
 
Mtoa mada naona baada ya kujibiwa swali lako unapandisha swali lingine juu Kwa juu, shida nini mzee!? Hoja Yako ni ipi?
 
Wasukuma na kafara za kuchinja wanyama ili wapate wanachokitaka ni jambo la kawaida uganga huo umezoeleka mno.
 
Watakuwa wamekula manyumbu ya Tanapa hao.
Nchi hii ina waongo sana.
Mwijaku na Baba Revo wameleta utamaduni wa kuongopea watu..yaani kuongopea watu imekuwa nayo ni sifa.

Ngombe wa milioni leo ni kawaida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…