Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 6,404 Reaction score 6,969 Jun 12, 2024 #1 Mara mtandao wa X ufungwe mara vijana wanajiharishia kwenye mabasi ya mwendo kasi. Mara hoo wanavaa pampasi. Sasa kwa nini mlimdhihaki na kumpinga Makonda. Shujaa anayefuata nyayo za Shujaa wa Afrika?
Mara mtandao wa X ufungwe mara vijana wanajiharishia kwenye mabasi ya mwendo kasi. Mara hoo wanavaa pampasi. Sasa kwa nini mlimdhihaki na kumpinga Makonda. Shujaa anayefuata nyayo za Shujaa wa Afrika?
Etwege JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 7,207 Reaction score 17,674 Jun 12, 2024 #2 Yaliyompinga Makonda, yalipinga pia ujenzi wa bwawa la umeme. Ni majinga tu
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Jun 12, 2024 #3 Em tulia kunywa kwanza maji. Haya tuambie nini kimetokea?