Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Bashite akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliandamwa na kashfa nyingi za kuteka watu, kuanzia wanasiasa, wana harakati, wafanyabiashara wakubwa na hata wanamuziki.
Ubalozi wa Marekani ulimtaja kwamba ni mtu hatari zaidi nchini Tanzania kwa uhai wa wasio na hatia. Wakamuondolea hadhi ya yeye na jamaa zake wote kuingia USA 🇺🇸.
Makonda akiwa na kikosi chake maalum alivamia Station za radio na TV za Clouds.
Makonda alifanya hujuma zote za waziwazi na za sirini ili kuiangamiza Chadema lakini akashindwa.
Alikuwa na facilities zote na backup personal ya rais ambaye pia alikuwa ni Msukuma mwenzie na mwenyekiti wa CCM lakini wakaangukia pua.
Je, safari hii ameteuliwa akiwa na jipya gani tena? Tutarajie kuibuka kwa Martin baharini zikiwa ndani ya viroba? Au tutarajie kuibuka kwa wimbi la watu kupotezwa na watu wasiojulikana? Au ndio tujiandae na taarifa za watu kutekwa?
All in all hamna mwenye nguvu kuzidi mapenzi ya Mungu