Makonda alitoa wapi zaidi ya Sh. Bilioni moja kujenga nyumba binafsi. Je, mshahara wa Mkuu wa Mkoa kwa miaka 3 unatosha?

Unaujua kwa undani uhusiano wa Bi Mkubwa na Makonda?.
Hakuna uhusiano wowote, acha upuuzi, angekuwa na huo uhusiano asingepata hizi shida anazopewa na akina GSM/Kubenea, hadi anakimbilia polisi na polisi wanamkwepa, Mother hana uhusiano na yeyote
 
Mimi na wewe tukubali tu hatujui yanayoendelea nyuma ya pazia, ni speculations tu. Makonda ndiye aliyempigia debe SSH wakati wa bunge maalum la katiba, ndiye aliyeongea na JPM na kumjengea ushawishi mpaka akamchukua kama running mate wake.
 
Hahaha, lini? Samia kateuliwa 2015, kipindi hicho Bashite bado alikuwa anafunga kamba viatu vya Riz
 
Hio hoja hata GSM mtaji wake kautoa wapi haina mashiko hoja ni umiliki wa nyumba basi. Nani mmiliki kesi iamue over.
 
Hahaha, lini? Samia kateuliwa 2015, kipindi hicho Bashite bado alikuwa anafunga kamba viatu vya Riz
Makonda alikuwepo bunge maalum la katiba la mwaka 2013, baadae akawa kiongozi wa CCM vijana ndipo alipomsemea mbovu mzee Lowassa na akaonekana ni jasiri akapewa ukuu wa wilaya ya Kinondoni.

Naona kama vile una chuki binafsi mpaka unaisahau historia.
 
Makonda ni msukuma ana ng'ombe may be aliuza ng'ombe kama chenge
 
Nayajua yote hayo Chief, nipo kwenye siasa za CCM kitambo, baadaye jina lake likapenyezwa kwa Jiwe, jiwe kwa ukabila wake akambeba mazima, Wasukuma dhaifu kwa hilo, nishawahi kuwa na bosi msukuma, baada ya hapo kilichofuata wote tunajua! Makonda ni alama mbaya sana kwa utawala wa JPM
 
Taabu kweli kweli, wakishaanza kusalimiana asubuhi kwa kisukuma na wakaanza kumteta mtu asiye wa kabila lao, basi udhaifu huanzia hapo.
 
Ni aibu kwa historia ya taifa kwamba tuliwahi kuwa na mtu kama Bashite akihusika kututengeneza Katiba mpya. Astaghfirullah.
Makonda alikuwepo bunge maalum la katiba la mwaka 2013, baadae akawa kiongozi wa CCM vijana ndipo alipomsemea mbovu mzee Lowassa na akaonekana ni jasiri akapewa ukuu wa wilaya ya Kinondoni.

Naona kama vile una chuki binafsi mpaka unaisahau historia.
 
Nchi hii tuwe tunaweka akiba ya maneno tusionane poa tu kuna watu wako na kazi maalumu mara paap kawa RPC tena au waziri wa ardhi. Nchi hii hujui huyu nani na yule nani. tupunguze jazba nchi hatari hakuna wa kumuamini,
 
Taabu kweli kweli, wakishaanza kusalimiana asubuhi kwa kisukuma na wakaanza kumteta mtu asiye wa kabila lao, basi udhaifu huanzia hapo.
Hapa tupo pamoja Chief, 60% ya wakurugenzi wa halmashauri kipindi cha Magu walikuwa wasukuma, walianzisha hadi group lao la Whatsapp, nilikuwa pia kwa hilo group, humo ndani ilikuwa kisukuma tu
 
Nchi hii tuwe tunaweka akiba ya maneno tusionane poa tu kuna watu wako na kazi maalumu mara paap kawa RPC tena au waziri wa ardhi. Nchi hii hujui huyu nani na yule nani. tupunguze jazba nchi hatari hakuna wa kumuamini,
Hapo ndipo umuhimu wa Katiba mpya unapokuja. Hatuwezi kuwa na nchi ya kuoneana, kuogopana na kuabudu wenye vyeo ili tuishi kwa uhuru na raha mustarehe wakati wote.
 
Nchi hii tuwe tunaweka akiba ya maneno tusionane poa tu kuna watu wako na kazi maalumu mara paap kawa RPC tena au waziri wa ardhi. Nchi hii hujui huyu nani na yule nani. tupunguze jazba nchi hatari hakuna wa kumuamini,
Hakuna hiyo kitu, jamaa ashazikwa politically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…