Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Akasema ukikutwa mjini na nguo hujanyoosha utakiona Cha Moto!pamoja na kuvaa mandala mjini ole wako😂Alisema wabunge wote waende Das salaam, kwa ruhusa maalum, mda wa vikao akiwaona atawakamata na kuwaweka ndani