Pre GE2025 Makonda ameagizwa na nani kufanya maigizo Nchi nzima!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na kati ya msafara mkubwa zaidi duniani. Hizo ni kodi zako. Vipaumbele ni vipi kusikiliza changamoto za wananchi wako au kula bata?
Kipaumbele kishakisema alipokuwa ziarani DAr, Pwani na Kilimanjaro.
kuizungumzia CHADEMA na hasa Mbowe na kuwaaminisha mafukara wa Tanganyika umetoakana na Mbowe kujenga nyumba yake ya kustaafia huko Machame.
 
kitu cha kwanza alimpotoa mbowe gerezani akaja ikulu, nguvu yote ya kudai katiba mpya ikaishia kwenye kikao chao ikulu.
 
Hii nchi ina maigizo mengi ukiyatafakari sana utaumiza kichwa
 
kitu cha kwanza alimpotoa mbowe gerezani akaja ikulu, nguvu yote ya kudai katiba mpya ikaishia kwenye kikao chao ikulu.
Kwamba Mbowe ndio ana jukumu la kudai katiba mpya pekee?

Vyama 13 vya upinzani kwa umoja wake juzi kuhusu maandamano viliitisha mkutano[press conference] na vikapinga maandamano na kusema katiba iliyopo inatosha, wakasema maandamano ni uasi na yataleta fuj na mwisho wakasema Mbowe atangulize mbele familia yake.
Kwanini suipigie kelele hivyo vyama pamoja na ACT kwanza?
alafu upigie kelele wewe mwenyewe na nduguzo ambao hamjuijukumu lenu na mnafikiri ni la Mbowe ama chadema?
 
Mdee alifanya la maana sana kupinga udikteta wa Mbowe.

Mdee ni shujaaa, mwanamke wa shoka

Njaa ndiyo imemfanya mbowe kuanza kupokea ruzuku inayotokana na wabunge aliowaita haramu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wazee kama kina Jk kukaa kimyaa maana ake wanajua ukiomuona nyani mjini anasumbua watu ujue ana mwenyewe..!!
 
Anaieneza CCM

Wengi wanadai Shujaa kafufuka naye kamtokea Makonda 😂🔥
Mama Abdul akija zinduka ndio atajua kwa kumteua Makonda alikuwa ana Changanya mambo yake binafsi na kazi ya watu.. WAHENGA wangesema “Samia amelitoa JINI kwenye chupa; atashindwa kulirudisha!”
 
Kwamba Mbowe ndio ana jukumu la kudai katiba mpya pekee?

Vyama 13 vya upinzani kwa umoja wake juzi kuhusu maandamano viliitisha mkutano[press conference] na vikapinga maandamano na kusema katiba iliyopo inatosha, wakasema maandamano ni uasi na yataleta fuj na mwisho wakasema Mbowe atangulize mbele familia yake.
Kwanini suipigie kelele hivyo vyama pamoja na ACT kwanza?
alafu upigie kelele wewe mwenyewe na nduguzo ambao hamjuijukumu lenu na mnafikiri ni la Mbowe ama chadema?
Kazi ya kiongozi ni nini?

Kuongoza, unaongoza kwa kutoa maagizo na kufuatilia maagizo yako.
 
Kwani kaijteua,ukiona waliomteua wapo kimya basi ujue ndiyo haohao waliomtuma!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kama ni hivyo hao waliomteua wakae pembeni nafasi zao azichujue yeye kwasababu kawaonyesha kua hawawezi kazi.Kuna haja gani ya kua na rais na wasaidizi wake ambao wanashindwa kuwasimamiwa wasaidizi wao wa ngazi za nchi kiasi chakuwafanya waje kugombezwa na mwenezi wa chama kwa mambo ambayo yametokana na kushindwa kwa walio juu.
 
Makonda ni msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama na anakutana na wananchi na kusikiliza kero zao kwa maelekezo ya Chama.
Kama kuna mtu anakereka na Chama cha Mapinduzi kufanya mikutano ya kusikiliza kero za wananchi basi aende kwenye chama chake akapige kelele.
Wanaoshiriki kwenye hiyo mikutano wanaelezea kero zako na kusikilizwa na kujaribu kupatiwa ufumbuzi.
Ukipinga una agenda ya siri hulazimishwi kushiriki kaa nyumbani lakini usiwanyime wanaotaka kushiriki kwa shutuma na uzushi.
 
Back
Top Bottom