Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachagua kuwa na wananchi, watu hawa wanaozunguka wamekwenda kutambika kwenye makaburi ya marehemu na kuomba mizimu na zaidi wanaomba ghost za hao viongozi ziwaongoze huku wakijiita walokole.Mkuu Butron kutoa umeme, maji, kuzuia rushwa, kujenga miundombinu, elimu bure ni muhimu sana. Vipi kuhusu ukiinginanisha na kutoa sababu, maneno mengi, vitendo sifuri, kuwauza Wamasai, kuuza bandari, Tanganyika, hakuna maji, umeme.
Ungechagua nini?
Hahahaha jana mbona Makonda kasema kwa nini Dkt Samia kaamua iwe hivyo maana yeye kama mwenyekiti wa chama ndiye kamtuma. Iko hivi, timu mafisadi, wezi wakiongozwa na akina JM walimuaminisha Dkt Samia timu inayoamini ktk uadilifu ni wabaya sana hivyo hawafai kuongoza serikali, basi Dkt Samia kawateua kila sehemu hahahah na matokeo yake kila sehemu ni uozo hivyo anachokifanya Makonda ni kumbua gamba Dkt Samia kuwa siyo yeye aliyesababisha kudorora kwa huduma za serikali bali ni lile kundi la mafisadi na wezi ambao anajutia kuwateua hivyo sasa anakwenda na timu ya waadilifu na wachapa kazi na anawaomba msamaha watanzania wampe kura 2025Paul Makonda anazunguka nchi nzima,anafanya maigizo kwa wananchi, kujidai wanaripoti matatizo kwake na yeye kuyatatua ambapo huenda ,so far amepita sehemu ambazo mteuzi wake hajafika.
Mwenezi anazunguka nchi nzima si KUTATUA kero za wananchi, bali anachokifanya ni kuuonesha umma kuwa hii nchi HAINA Serikali.
Kila anakokwenda raia wamejaa wamemzunguka na shida lukuki! Utakuta eneo lina RC, RAS, DC, DAS, DED mpaka OCD. Bado kuna TAKUKURU, maafisa ardhi, wajumbe wa nyumba 10/10 na kila idara nyeti lakini wote ni USELESS tu.
Wanatafuna tu kodi za wananchi! Hata kama ni fedha za CCM -lakinn msafara una watu wanaolipwa na serikali ambayo ni fehda za wasio na wa CCM, watendaji wanaacha ofisi wanazurura naye kwenye ziara ya maigizo kumtangaza mteuzi wake.
Kama tuna Mh Majaliwa[waziri mkuu mkali na mchapakazi], haya akaletewa Dotto biteko[Naibu waziri mkuu] bado inaonekana wanapwaya na sasa kumleta Makonda haina shida ila sasa kukusanya watu muda wa kazi na kufanya maigizo ni kuwaonea maskini wa kitanzani.
Jamaa anakusanya wananchi wanaoitwa 'wanyonge', halafu anawauliza "haya semeni matatizo yenu mmoja baada ya mwingine!" Kisha wananchi wanawataja viongozi wa maeneo yao kama DC, DED, wenyeviti wa mitaa kama chanzo cha matatizo yao – ambao wote hao ni wana chama tawala!
Cha kushangaza zaidi, Bashite anatoa 'maelekezo' kwa watu HAO HAO waliosababisha matatizo sugu kwa MIAKA yote kwamba waenda WAKAYATATUE ndani ya MASAA au SIKU! Wananchi nao WANAPIGA MAKOFI wakiamini shida zao zimetatuliwa. Utadhani hii ni mara ya kwanza kwa viongozi kufanya haya MAIGIZO! Msafara ukiondoka, kila mtu anarudi nyumbani amechoka, shida ziko pale pale.
Enyi wananchi, muda umefika wa kukataa ujinga kwa vitendo. Muda wa kudai #KatibaMpya
ooh, kumbe, kwahiyo ufalme umefitinika.Hahahaha jana mbona Makonda kasema kwa nini Dkt Samia kaamua iwe hivyo maana yeye kama mwenyekiti wa chama ndiye kamtuma. Iko hivi, timu mafisadi, wezi wakiongozwa na akina JM walimuaminisha Dkt Samia timu inayoamini ktk uadilifu ni wabaya sana hivyo hawafai kuongoza serikali, basi Dkt Samia kawateua kila sehemu hahahah na matokeo yake kila sehemu ni uozo hivyo anachokifanya Makonda ni kumbua gamba Dkt Samia kuwa siyo yeye aliyesababisha kudorora kwa huduma za serikali bali ni lile kundi la mafisadi na wezi ambao anajutia kuwateua hivyo sasa anakwenda na timu ya waadilifu na wachapa kazi na anawaomba msamaha watanzania wampe kura 2025
Taratibu wanashughulikiwa kimya kimya, wote wataisha, usiwe na wasi wasi, ogopa sana mtu mkimya, unaweza dhani mjinga na hajui hahaha. Sikilizia tu hapo kabla ya 2025 wengine watakimbia nchi wengine ripooh, kumbe, kwahiyo ufalme umefitinika.
Hao uliowataja, watarudisha walivyovichota?
Na kama ndivyo, mbona wanaendelea kuwek watu wao kwenye mashirika, idara na wizara?
Mbona wao ndio inasemekana wanapitisha majina nani awe balozi na nani asiwe?
Mbona inasemekana ndio wao wameamua kuweka vituo vya mafuta nchi nzima kila mtaa?
Well noted, and that is what we see.Nature abhors a vacuum.
Ukipewa kazi ukashindwa kuifanya lazima atajitokeza mwingine kuifanya. Anaweza akatokea mwema au kibaka.
This is for real 😳!Anaieneza CCM
Wengi wanadai Shujaa kafufuka naye kamtokea Makonda 😂🔥
Kumekuchaa !Shida nini? Mbona sisi tuliandamana na hakuna baya. Yan shida ipo wap
Mkuu shida ni wananchi kwa nn wanaenda kwa wing?
Shida ni kwa nini wanatoa kero zao?
Shida nin mkuu?
Makofi yanapigwa na walionyimwa elimu na ufahamu na hao hao wanaotoa maagizo.Cha kushangaza zaidi, Bashite anatoa 'maelekezo' kwa watu HAO HAO waliosababisha matatizo sugu kwa MIAKA yote kwamba waenda WAKAYATATUE ndani ya MASAA au SIKU! Wananchi nao WANAPIGA MAKOFI wakiamini shida zao zimetatuliwa. Utadhani hii ni mara ya kwanza kwa viongozi kufanya haya MAIGIZO! Msafara ukiondoka, kila mtu anarudi nyumbani amechoka, shida ziko pale pale.
Hakuna ngoja tuone! Mazaa kishasoma ramani, kaona hana influence, kaona wengine wanapata umaarufu kuliko yeye na usidhani hasomi tweeter na jf, anasoma na cha kumuokoa kaona aletemropokaji, asiye na soni ndio ashughulike na wanaotaka formu 2025.This is for real 😳!
Watu hawataamini lakini Makonda ni unstoppable kwa sasa !
Na inaelekea kwa kujua au kutokujua anayo full backup ya Mama. !!
Ngoja tuone 🙏🙏
Wwe hujawai kuumwa, na siku ukiimwa mbona utatafuta kila aina ya dawa ili upone, watu wamedhulumiwa wameshitaki kwenye mamlaka husika lakini bado hawajasaidiwa na hadi wamekata tamaa, sasa Mungu kamleta Makonda naona na imani yao imerudi tena! Subiri siku udhulumiwe na wajanja walioiweka serekali mfukoni ndiyo utawaelewa hao wananchi wanaomlilia Makonda awasaidie matatizo yao!!Paul Makonda anazunguka nchi nzima,anafanya maigizo kwa wananchi, kujidai wanaripoti matatizo kwake na yeye kuyatatua ambapo huenda ,so far amepita sehemu ambazo mteuzi wake hajafika.
Mwenezi anazunguka nchi nzima si KUTATUA kero za wananchi, bali anachokifanya ni kuuonesha umma kuwa hii nchi HAINA Serikali.
Kila anakokwenda raia wamejaa wamemzunguka na shida lukuki! Utakuta eneo lina RC, RAS, DC, DAS, DED mpaka OCD. Bado kuna TAKUKURU, maafisa ardhi, wajumbe wa nyumba 10/10 na kila idara nyeti lakini wote ni USELESS tu.
Wanatafuna tu kodi za wana-nchi! Hata kama ni fedha za CCM -lakini msafara una watu wanaolipwa na serikali ambayo ni fedha za wasio nawa CCM, watendaji wanaacha ofisi wanazurura Makonda kwenye ziara za maigizo kumtangaza mteuzi wake ambaye anajua fika hakubaliki, hakupigiwa kura lakini hata ambaye alipigiwa kura huenda si yeye aliyeshinda.
Kama tuna Mh Majaliwa[waziri mkuu mkali na mchapakazi], haya akaletewa Dotto Biteko [Naibu waziri mkuu] bado inaonekana wanapwaya na sasa kumleta Makonda haina shida ila sasa kukusanya watu muda wa kazi na kufanya maigizo ni kuwaonea maskini wa kitanzani.
Jamaa anakusanya wananchi wanaoitwa 'wanyonge', halafu anawauliza "haya semeni matatizo yenu mmoja baada ya mwingine!" Kisha wananchi wanawataja viongozi wa maeneo yao kama DC, DED, wenyeviti wa mitaa kama chanzo cha matatizo yao – ambao wote hao ni wana chama tawala!
Cha kushangaza zaidi, Bashite anatoa 'maelekezo' kwa watu HAO HAO waliosababisha matatizo sugu kwa MIAKA yote kwamba waenda WAKAYATATUE ndani ya MASAA au SIKU! Wananchi nao WANAPIGA MAKOFI wakiamini shida zao zimetatuliwa. Utadhani hii ni mara ya kwanza kwa viongozi kufanya haya MAIGIZO! Msafara ukiondoka, kila mtu anarudi nyumbani amechoka, shida ziko pale pale.
Enyi wananchi, muda umefika wa kukataa ujinga kwa vitendo. Muda wa kudai #KatibaMpya
Absolutely correct. Otherwise anachofanya Makonda ni usanii. Ukitaka kuchange system, lazima head wa system hiyo ndiye awe the leading figure otherwise ni ngumu kuchange system wakati mwenye system anaona kila kitu kiko sawa. Hapo ndipo nakubaliana na mtoa mada yawezekana huu ni usanii,Kwanini Rais asifanye na kusimamia haki, ukweli na kusimama na kusimamia nchi.
Hivi unafikiri vitu anavyofanya Makonda angefanya rais, umeme ungekatika, maji yangekuwa shida, mfumuko wa bei, za daladala zingepanda kihivyo. Rushwa ingekithiri na unanijua mimi ni nani?
Ni hivi hata wewe ukiwa mkweli, ukitatua shidq za wananchi utapendwa tena sana tu.
Excellent case.....nani ni mtendaji, je kinachofanyika kinaleta taswira ipi kuhusu uwezo wa hao viongozi wakuu wa serikali uliowataja na wengine ngazi ya mkoa na wilaya. Je kama aliyewachangua hao ndio aliyemchagua huyu na kumtuma, hii inaleta taswira ipi kati ya chama na serikali yake. Je hatuoni kuna mgongano hapo wa chama kumreprimand mtumishi wa serikali mbele ya kadamnasi.Makonda ni mtendaji kwenye hii nchi?
Samia si anasaidiwa na
1. Mpango [makamu wa Raisi]
2. Waziri mkuu
3. Naibu Waziri Mkuu.
4 . Mawaziri.
5. Makatibu Wakuu.
6. RC<DAS na DC?
Unataka kuuambia Umma wa Tanzania kwamba hawa wote hamna kitu wanafanya hivyo sasa Rasi kaamua kumteua mtu /mwenenzi wa chama[CCM] akawe mtendaji wa serikali?
Mandate ya kuitisha mawaziri na RPC hadharani na kutaka watoe majibu inatoka sheria gani?
#Lawless Country.
Tusubiri siku atamuita jaji mkuu jukwani ajibu kwanini hukumu imema ushindi huyu na kumuacha yule.
Nachagua kuwa na wananchi, watu hawa wanaozunguka wamekwenda kutambika kwenye makaburi ya marehemu na kuomba mizimu na zaidi wanaomba ghost za hao viongozi ziwaongoze huku wakijiita walokole.
Wanamtaja Mungu midomoni lakinimioyo yao iko mbali naye.
Hao walioshindwa kuhudumia si waondolewe?Wwe hujawai kuumwa, na siku ukiimwa mbona utatafuta kila aina ya dawa ili upone, watu wamedhulumiwa wameshitaki kwenye mamlaka husika lakini bado hawajasaidiwa na hadi wamekata tamaa, sasa Mungu kamleta Makonda naona na imani yao imerudi tena! Subiri siku udhulumiwe na wajanja walioiweka serekali mfukoni ndiyo utawaelewa hao wananchi wanaomlilia Makonda awasaidie matatizo yao!!