ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Ni hivi kuna vacuum, the figurehead doesn't want to step up na kufanya kazi yake. Anajificha, anapenda mambo ya kitoto tu ziara ulaya, teuzi na tenguzi za hovyo, hataki kusikiliza matatizo ya wananchi.Absolutely correct. Otherwise anachofanya Makonda ni usanii. Ukitaka kuchange system, lazima head wa system hiyo ndiye awe the leading figure otherwise ni ngumu kuchange system wakati mwenye system anaona kila kitu kiko sawa. Hapo ndipo nakubaliana na mtoa mada yawezekana huu ni usanii,
"We are creating and raising our political supremacy and personal popularity on expense of the pervasive poverty, , pain and suffering of the ignorant citizen "