Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #101
Kipaumbele kishakisema alipokuwa ziarani DAr, Pwani na Kilimanjaro.Na kati ya msafara mkubwa zaidi duniani. Hizo ni kodi zako. Vipaumbele ni vipi kusikiliza changamoto za wananchi wako au kula bata?
kitu cha kwanza alimpotoa mbowe gerezani akaja ikulu, nguvu yote ya kudai katiba mpya ikaishia kwenye kikao chao ikulu.Kipaumbele kishakisema alipokuwa ziarani DAr, Pwani na Kilimanjaro.
kuizungumzia CHADEMA na hasa Mbowe na kuwaaminisha mafukara wa Tanganyika umetoakana na Mbowe kujenga nyumba yake ya kustaafia huko Machame.
Sayansi imejaaje. Sayansi ni ukweli. Unaangalia facts. Ukweli ukoje duniani? Vipi kuwaibia milioni 60, kutowapa umeme, maji, tozo, mfumuko wa bei.[emoji3578]Siasa ni Sayansi [emoji419]
Itawaingia tu.It is just a matter of times. Kuweweseka kumezidi.Panya wameanza kuropoka.[emoji3578]Siasa ni Sayansi [emoji419]
Kwamba Mbowe ndio ana jukumu la kudai katiba mpya pekee?kitu cha kwanza alimpotoa mbowe gerezani akaja ikulu, nguvu yote ya kudai katiba mpya ikaishia kwenye kikao chao ikulu.
Mdee alifanya la maana sana kupinga udikteta wa Mbowe.Kwamba Mbowe ndio ana jukumu la kudai katiba mpya pekee?
Vyama 13 vya upinzani kwa umoja wake juzi kuhusu maandamano viliitisha mkutano[press conference] na vikapinga maandamano na kusema katiba iliyopo inatosha, wakasema maandamano ni uasi na yataleta fuj na mwisho wakasema Mbowe atangulize mbele familia yake.
Kwanini suipigie kelele hivyo vyama pamoja na ACT kwanza?
alafu upigie kelele wewe mwenyewe na nduguzo ambao hamjuijukumu lenu na mnafikiri ni la Mbowe ama chadema?
Mama Abdul akija zinduka ndio atajua kwa kumteua Makonda alikuwa ana Changanya mambo yake binafsi na kazi ya watu.. WAHENGA wangesema “Samia amelitoa JINI kwenye chupa; atashindwa kulirudisha!”Anaieneza CCM
Wengi wanadai Shujaa kafufuka naye kamtokea Makonda 😂🔥
Kazi ya kiongozi ni nini?Kwamba Mbowe ndio ana jukumu la kudai katiba mpya pekee?
Vyama 13 vya upinzani kwa umoja wake juzi kuhusu maandamano viliitisha mkutano[press conference] na vikapinga maandamano na kusema katiba iliyopo inatosha, wakasema maandamano ni uasi na yataleta fuj na mwisho wakasema Mbowe atangulize mbele familia yake.
Kwanini suipigie kelele hivyo vyama pamoja na ACT kwanza?
alafu upigie kelele wewe mwenyewe na nduguzo ambao hamjuijukumu lenu na mnafikiri ni la Mbowe ama chadema?
Naunga mkono hojaHalafu wakikaribia kwenye mkutano wanapanda punda. Ujinga wa kiwango gani hiki
Kazi kweli kweli !!Mara paap kawa raisi kimchezo mchezo tu ccm hawana mtu anaeuzika kwa sasa baada ya mama
Kama ni hivyo hao waliomteua wakae pembeni nafasi zao azichujue yeye kwasababu kawaonyesha kua hawawezi kazi.Kuna haja gani ya kua na rais na wasaidizi wake ambao wanashindwa kuwasimamiwa wasaidizi wao wa ngazi za nchi kiasi chakuwafanya waje kugombezwa na mwenezi wa chama kwa mambo ambayo yametokana na kushindwa kwa walio juu.Kwani kaijteua,ukiona waliomteua wapo kimya basi ujue ndiyo haohao waliomtuma!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Makonda ni msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama na anakutana na wananchi na kusikiliza kero zao kwa maelekezo ya Chama.Kama ni hivyo hao waliomteua wakae pembeni nafasi zao azichujue yeye kwasababu kawaonyesha kua hawawezi kazi.Kuna haja gani ya kua na rais na wasaidizi wake ambao wanashindwa kuwasimamiwa wasaidizi wao wa ngazi za nchi kiasi chakuwafanya waje kugombezwa na mwenezi wa chama kwa mambo ambayo yametokana na kushindwa kwa walio juu.