Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Arusha ya leo ni safi, wanaarusha wote wana furaha, maji ya kumwaga, huduma za afya mwake mwake, mashule ndiyo usiseme, environmental quality and standards safi, bado machache tu Arusha iwe ya kitofauti kabisa!, nathubutu kusema katika kipindi cha miaka sita ijayo chini ya rais wetu, Dr. SSH, na UKUU wa mkoa wa Bw. Paul Makonda, Arusha itakuwa kitu kingine kabisa, ambacho hakipo E. A, and central A.