Makonda ameivaa Arusha, nayo ikamvaa vyema, Arusha leo hii kama Sweden au sehemu yoyote ya Ulaya!

Makonda ameivaa Arusha, nayo ikamvaa vyema, Arusha leo hii kama Sweden au sehemu yoyote ya Ulaya!

Rais Samia anapokolewa na gari 500.
Hii ni kumtukuza binadamu kuliko Mungu.
Wadau wa utalii kwa magari yao na mafuta yao wameona wamshukuru Dr SSH, kwa staili ya kipekee ya aina hiyo nalo limekuumiza pia?
 
Wadau wa utalii kwa magari yao na mafuta yao wameona wamshukuru Dr SSH, kwa staili ya kipekee ya aina hiyo nalo limekuumiza pia?
Wachukua hela za utalii wanagawana.
In the past twelve months, nilikuwa Arusha for six months.
Nimeona matatizo ya infrastructure kule.
And yetu Makonda tunaambiwa anaishi katika five-star hotel.
 
Wachukua hela za utalii wanagawana.
In the past twelve months, nilikuwa Arusha for six months.
Nimeona matatizo ya infrastructure kule.
And yetu Makonda tunaambiwa anaishi katika five-star hotel.
Possibly,pamoja na security wise!
 
Sawa! wala haipo kama Swideni MaK ipo kama nyuyoki kabisa au shicago, kazi kubwa umefanya na mama yako anakukubali, yua ze gemu chenja
 
Ulikaa chini ya madawati wakati wengine wanajifunza kuandika
 
Tunaomba mwakani makonda aje mwanza agombee ubunge mimi nitakuwa wa kwanza kumpigia kampeni anafafanya kazi nzuri
 
Maandalizi nyama choma Arusha ikiwa ni maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki🇹🇿
Wananchi wamshukuru Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kufungua fursa Arusha na kumteua Mhe. Paul Christian Makonda Makonda Rc Paul kuwa mkuu wao wa Mkoa.
Maandalizi yalikuwa tayari kufikia saa 10:00,Jioni 28/11/2024.
FB_IMG_17328210247911013.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_17328211524347544.jpg
    FB_IMG_17328211524347544.jpg
    328.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom