Makonda ameivaa Arusha, nayo ikamvaa vyema, Arusha leo hii kama Sweden au sehemu yoyote ya Ulaya!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Arusha ya leo ni safi, wanaarusha wote wana furaha, maji ya kumwaga, huduma za afya mwake mwake, mashule ndiyo usiseme, environmental quality and standards safi, bado machache tu Arusha iwe ya kitofauti kabisa!, nathubutu kusema katika kipindi cha miaka sita ijayo chini ya rais wetu, Dr. SSH, na UKUU wa mkoa wa Bw. Paul Makonda, Arusha itakuwa kitu kingine kabisa, ambacho hakipo E. A, and central A.
 
Hii nchi ina vijana machawa sana, kwanza sipingani na Makonda ,ukiwekea mbali makandokando yake aliyofanya akiwa RC Dar, Makonda hana uwezo wa kuyafanya hayo yote uliyotaja kwa muda mfupi huo aliokaa Arusha.

Punguza mahaba kijana
 
Akili hauna, mamaako angetaka abortion ningetoa mchango.

Kwanza siyo uraya ni ulaya.
Pili wingi wa wazungu siyo kigezo cha maendeleo
 
Bahati mbaya sana,viongozi nyerere aliondoka nao wote.Sasa hivi tunaongozwa na makapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…