Makonda amerejea baada ya likizo

Makonda amerejea baada ya likizo

Angeshaitisha matarumbeta airport na mdundiko na kibao kata wampokee na media mbalimbali
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nayasema haya kwa kuwa natambua wazi Kuwa watu Majasiri ,wakweli, wazalendo , wachapakazi na walionyooka kama rula katika kuwatetea wanyonge na waliojitoa na kujitolea maisha yao kwa ajili ya maisha ya wanyonge kama afanyavyo Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda huwa wanakuwa na maadui wengi sana.

Huwa wanachukiwa sana ,kupigwa vita,kuwindwa,kuombewa mabaya,kusingiziwa,kuchafuliwa,kupigwa Majungu na kila aina ya vita ya kuwanyong'onyesha ,kuwavunja moyo,kuwakatisha tamaa na kuwavuruga ili wasiendelee na mapambano na juhudi za kuwatetea wanyonge.

Ni lazima watanzania tufahamu ya kuwa kuwapata watu na viongozi Majasiri waliopindukia aina ya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda siyo jambo jepesi wala rahisi. Mtu aina ya Mwamba Makonda hajatengenezwa kuwa na ujasiri alio nao,bali ni kipawa na uwezo aliopewa na Mungu tangia kuzaliwa kwake. Amezaliwa akiwa hivyo na atakuwa hivyo mpaka siku yake ya Mwisho kuwepo kwake hapa Duniani.habadiliki na hawezi kubadilishwa na mtu yeyote yule kuacha asili yake ya ujasiri uliopo katika kifua chake.

Kama majasiri wangekuwa wanatengenezwa basi tungesema tutengeneze Miamba mingine Mingi aina ya Mwamba Makonda,lakini kwa Kuwa hawatengenezwi ndio Maana Mwamba Mwenyewe Makonda anabakia kama kijana jasiri sana kusini Mwa jangwa la Sahara.

Napenda kusema kuwa wanaomchukia na kumpiga vita Mwamba Makonda,wanafanya hivyo kwa sababu ya kitu alicho beba ndani yake. Wanajuwa kuwa huyu Mwamba ni hazina kwa Taifa,ni tishio kwa ndoto zao za baadaye,ni kipenzi cha watanzania,anakubalika na mamilioni ya watanzania.

Napenda kuwarejesheni katika Biblia kuwa Pharao aliagiza kila akizaliwa mtoto wa kiume auawe.unafikiri ni kwanini? Ni kwa sababu Pharao aliona kitu kilichobebwa na miongoni mwa mtoto wa kiume atakayezaliwa ambaye alikuwa ni Musa.

Nenda kasome habari za Herode na kuzaliwa kwa yesu.Unafikiri ni kwanini pia Yesu aliwindwa mpaka ikabidi aende afichwe mafichoni? Jibu ni kwa kutokana na kitu alichokuwa amekibeba ndani yake.

Kwa hiyo watu wanaweza wakakuchukia sana ,siyo kwa sababu umewakosea kitu bali ni kwa sababu ya kitu ulichokibeba ndani yako ambacho tayari watu wengine wameshaona katika ulimwengu wa kiroho na kuona namna utakavyokuja kuwa tishio katika safari yao au nafasi zao au ndoto zao za baadaye.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Hakuna binadamu anayemchukia mwenzake bila sababu yoyote. Ni yeye mwenyewe tu kuangalia nyuma kama kuna aliyemkwaza na amwombe msamaha.
Tambua ya kuwa huwezi kupendwa na kila mtu wala kumridhisha kila mtu hasa ukiwa kiongozi kama alivyo Mwamba Mwenyewe Paul Makonda.kuna wengine hata uwafanyie mema kiasi gani, bado watakusema na kukupiga vita tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu Umewiwa kuwaombeni sana watanzania wenzangu kwa moyo wa unyenyekevu na kwa dhati ya Moyo wangu,tumuombee sana kwa kila mmoja kwa imani yake.

Nayasema haya kwa kuwa natambua wazi Kuwa watu Majasiri ,wakweli, wazalendo , wachapakazi na walionyooka kama rula katika kuwatetea wanyonge na waliojitoa na kujitolea maisha yao kwa ajili ya maisha ya wanyonge kama afanyavyo Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda huwa wanakuwa na maadui wengi sana.

Huwa wanachukiwa sana ,kupigwa vita,kuwindwa,kuombewa mabaya,kusingiziwa,kuchafuliwa,kupigwa Majungu na kila aina ya vita ya kuwanyong'onyesha ,kuwavunja moyo,kuwakatisha tamaa na kuwavuruga ili wasiendelee na mapambano na juhudi za kuwatetea wanyonge.

Ni lazima watanzania tufahamu ya kuwa kuwapata watu na viongozi Majasiri waliopindukia aina ya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda siyo jambo jepesi wala rahisi. Mtu aina ya Mwamba Makonda hajatengenezwa kuwa na ujasiri alio nao,bali ni kipawa na uwezo aliopewa na Mungu tangia kuzaliwa kwake. Amezaliwa akiwa hivyo na atakuwa hivyo mpaka siku yake ya Mwisho kuwepo kwake hapa Duniani.habadiliki na hawezi kubadilishwa na mtu yeyote yule kuacha asili yake ya ujasiri uliopo katika kifua chake.

Kama majasiri wangekuwa wanatengenezwa basi tungesema tutengeneze Miamba mingine Mingi aina ya Mwamba Makonda,lakini kwa Kuwa hawatengenezwi ndio Maana Mwamba Mwenyewe Makonda anabakia kama kijana jasiri sana kusini Mwa jangwa la Sahara.

Napenda kusema kuwa wanaomchukia na kumpiga vita Mwamba Makonda,wanafanya hivyo kwa sababu ya kitu alicho beba ndani yake. Wanajuwa kuwa huyu Mwamba ni hazina kwa Taifa,ni tishio kwa ndoto zao za baadaye,ni kipenzi cha watanzania,anakubalika na mamilioni ya watanzania.

Napenda kuwarejesheni katika Biblia kuwa Pharao aliagiza kila akizaliwa mtoto wa kiume auawe.unafikiri ni kwanini? Ni kwa sababu Pharao aliona kitu kilichobebwa na miongoni mwa mtoto wa kiume atakayezaliwa ambaye alikuwa ni Musa.

Nenda kasome habari za Herode na kuzaliwa kwa yesu.Unafikiri ni kwanini pia Yesu aliwindwa mpaka ikabidi aende afichwe mafichoni? Jibu ni kwa kutokana na kitu alichokuwa amekibeba ndani yake.

Kwa hiyo watu wanaweza wakakuchukia sana ,siyo kwa sababu umewakosea kiti bali ni kwa sababu ya kitu ulichokibeba ndani yako ambacho tayari watu wengine wameshaona katika ulimwengu wa kiroho na kuona namna utakavyokuja kuwa tishio katika safari yao au nafasi zao au ndoto zao za baadaye.

Kwa hiyo napenda kuwaombeni sana Watanzania wenzangu kuwa tumuombeeni sana Mwamba Makonda Kimaombi .Mwamba ni hazina kwa Taifa letu.Ndio Maana Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameendelea kumuamini na kumpatia Arusha kuiongoza.

Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda chapa kazi Mwamba,songa mbele Mwamba,Mungu yupo pamoja na wewe na wala hata kuacha wala kukupungukia .Utalindwa na Mkono hodari wa Mwenyezi Mungu.Mungu asema uwe hodari na Moyo Wa ushujaa. Mungu wa Ibrahimu,ISaka na Yakobo ataendelea kuwa pamoja nawe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyo muuaji mikono yake imejaa damu.
 
Nilishakwambia mara nyingi sana kuwa uache uropokaji na ubwatukaji wako.
Kuna laana unaitafuta kwa lazima na utaipata muuaji haombewi asubiri rungu la UTOSI siku yoyote tangu sasa na hiyo ni haki yake na MUNGU hadhihakiwi wala kutaniwa na hata kama umetumwa yapo mengi ya KICHAWA CHAWA ya kuongea lakini siyo kwamba watz hawayajui aloyatenda huyo mtu hata kama wewe umeamua kujaza pamba masikioni UBALOZI WA USA walithibitisha kuwa huyo mtu mikono yake imejaa damu
 
Hujitambui kabisa wewe.ubalozi wa Marekani ni nani katika Taifa letu? Hao hao Marekani si waliivamia ilaki na kumuua Saddam Hussein kwa kusema kuwa ina silaha za maangamizi? Je ulionyeshwa hizo silaha? Umewahi kuziona? Umewahi kuonyeshwa haya kwa video au picha tu? Hao hao Marekani si ndio waliongoza mauaji ya Muamar Gaddafi? Sasa kama kweli wewe una akili Timamu unaweza vipi kuwamini hao Marekani?
 
Hujawahi kuwa na akili hata siku moja.
Lucas kuna ujinga mwingi sana unauletaga humu lakini Kutuambia tumuombee DAB ni kutuona watz mazuzu au unadhihaki imani zetu dunia nzima inajua huyo ni jambazi muuaji na kuyaficha haya ni sawa na tembo kujificha kwenye jaruba la mpunga, huyo kwanza ana LAANA ya kumpiga Kofi mzee Warioba na zipo taarifa nyingi Chafu zinamuhusu mwambie aendelee kwenda kwa waganga wa kienyeji kama alivyozoea lakini kuwaambia watz wamuombee ni DHARAU YA KIWANGO CHA SGR jifungie mwenyewe na umuombee
 
Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda ni muuaji .
 
Lucas kuna ujinga mwingi sana unauletaga humu lakini Kutuambia tumuombee DAB ni kutuona watz mazuzu au unadhihaki imani zetu dunia nzima inajua huyo ni jambazi muuaji na kuyaficha haya ni sawa na tembo kujificha kwenye jaruba la mpunga, huyo kwanza ana LAANA ya kumpiga Kofi mzee Warioba na zipo taarifa nyingi Chafu zinamuhusu mwambie aendelee kwenda kwa waganga wa kienyeji kama alivyozoea lakini kuwaambia watz wamuombee ni DHARAU YA KIWANGO CHA SGR jifungie mwenyewe na umuombee
[/QUOTE
Ilitakiwa uandike kwa kuambatanisha na ushahidi wa tuhuma zako
 
Hujitambui kabisa wewe.ubalozi wa Marekani ni nani katika Taifa letu? Hao hao Marekani si waliivamia ilaki na kumuua Saddam Hussein kwa kusema kuwa ina silaha za maangamizi? Je ulionyeshwa hizo silaha? Umewahi kuziona? Umewahi kuonyeshwa haya kwa video au picha tu? Hao hao Marekani si ndio waliongoza mauaji ya Muamar Gaddafi? Sasa kama kweli wewe una akili Timamu unaweza vipi kuwamini hao Marekani?
Chanjo karibu zote ulizochanjwa ni Msaada kutoka USA na hata sasa hivi mikoa mingi ya tz Bara ikiwamo Mbeya na Songwe wanatoa TOHARA ya bure huenda hata wewe hapo umetolewa mkono wa sweta kwa USAID vipi hujawahi kugoma? Yaani LEO Kisa kuliombea jambazi ndio umeona USA haina Msaada hapa tz? Vyoo vingapi vinazinduliwa na hao mabwana zako huko mashuleni na zahanati vimejengwa kwa Msaada wa USA?
 
Back
Top Bottom