Makonda amerejea baada ya likizo

Makonda amerejea baada ya likizo

Chanjo karibu zote ulizochanjwa ni Msaada kutoka USA na hata sasa hivi mikoa mingi ya tz Bara ikiwamo Mbeya na Songwe wanatoa TOHARA ya bure huenda hata wewe hapo umetolewa mkono wa sweta kwa USAID vipi hujawahi kugoma? Yaani LEO Kisa kuliombea jambazi ndio umeona USA haina Msaada hapa tz? Vyoo vingapi vinazinduliwa na hao mabwana zako huko mashuleni na zahanati vimejengwa kwa Msaada wa USA?
Jibu maswali niliyokuuliza na siyo huo ujinga uliouandika
 
Wewe bora huyo muuaji Nyamitako akuoe uwe mke mdogo tumechoka huu upuuzi wako
 
Labda wewe ndiye Jambazi
LISSU mwenyewe alimtaja huyo kuwa ndiye ali orchestrate hujuma dhidi ya uhai wake na hajawahi kanusha tuhuma hizi na ndio maana hata serikali yako imeendelea kujikanyaga hadi leo na haijaweza kutoa taarifa ya uchunguzi na hata Interpol walipotaka kuchunguza serkali ilikataa halafu unataka kuja kumsafisha hapa JF nakuambia huyo hasafishiki labda kwa moto wa jehanam
 
Mtu anatuhuma za kuzuia haki ya kuishi ya watu wengine. Luca anajua maana ya hizo tuhuma?USA wanahitaji nini kwa Daudi Albert Bashite hadi waamue kumzushia jambo bila usahihi/ukweli wowote?Amejiuliza kweli au anabugia maparachichi tu?
 
Kwa hiyo na wewe kwa akili zako unamuamini mtu mropokaji kama alivyo Lissu? Kweli una matatizo makubwa sana kichwani kwako.
 
Mtu anatuhuma za kuzuia haki ya kuishi ya watu wengine. Luca anajua maana ya hizo tuhuma?USA wanahitaji nini kwa Daudi Albert Bashite hadi waamue kumzushia jambo bila usahihi/ukweli wowote?Amejiuliza kweli au anabugia maparachichi tu?
Mangapi Marekani wamezusha kwa watu na Mataifa mbalimbali? Kwa hiyo Marekani ndio Mungu wako?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nayasema haya kwa kuwa natambua wazi Kuwa watu Majasiri ,wakweli, wazalendo , wachapakazi na walionyooka kama rula katika kuwatetea wanyonge na waliojitoa na kujitolea maisha yao kwa ajili ya maisha ya wanyonge kama afanyavyo Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda huwa wanakuwa na maadui wengi sana.

Huwa wanachukiwa sana ,kupigwa vita,kuwindwa,kuombewa mabaya,kusingiziwa,kuchafuliwa,kupigwa Majungu na kila aina ya vita ya kuwanyong'onyesha ,kuwavunja moyo,kuwakatisha tamaa na kuwavuruga ili wasiendelee na mapambano na juhudi za kuwatetea wanyonge.

Ni lazima watanzania tufahamu ya kuwa kuwapata watu na viongozi Majasiri waliopindukia aina ya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda siyo jambo jepesi wala rahisi. Mtu aina ya Mwamba Makonda hajatengenezwa kuwa na ujasiri alio nao,bali ni kipawa na uwezo aliopewa na Mungu tangia kuzaliwa kwake. Amezaliwa akiwa hivyo na atakuwa hivyo mpaka siku yake ya Mwisho kuwepo kwake hapa Duniani.habadiliki na hawezi kubadilishwa na mtu yeyote yule kuacha asili yake ya ujasiri uliopo katika kifua chake.

Kama majasiri wangekuwa wanatengenezwa basi tungesema tutengeneze Miamba mingine Mingi aina ya Mwamba Makonda,lakini kwa Kuwa hawatengenezwi ndio Maana Mwamba Mwenyewe Makonda anabakia kama kijana jasiri sana kusini Mwa jangwa la Sahara.

Napenda kusema kuwa wanaomchukia na kumpiga vita Mwamba Makonda,wanafanya hivyo kwa sababu ya kitu alicho beba ndani yake. Wanajuwa kuwa huyu Mwamba ni hazina kwa Taifa,ni tishio kwa ndoto zao za baadaye,ni kipenzi cha watanzania,anakubalika na mamilioni ya watanzania.

Napenda kuwarejesheni katika Biblia kuwa Pharao aliagiza kila akizaliwa mtoto wa kiume auawe.unafikiri ni kwanini? Ni kwa sababu Pharao aliona kitu kilichobebwa na miongoni mwa mtoto wa kiume atakayezaliwa ambaye alikuwa ni Musa.

Nenda kasome habari za Herode na kuzaliwa kwa yesu.Unafikiri ni kwanini pia Yesu aliwindwa mpaka ikabidi aende afichwe mafichoni? Jibu ni kwa kutokana na kitu alichokuwa amekibeba ndani yake.

Kwa hiyo watu wanaweza wakakuchukia sana ,siyo kwa sababu umewakosea kitu bali ni kwa sababu ya kitu ulichokibeba ndani yako ambacho tayari watu wengine wameshaona katika ulimwengu wa kiroho na kuona namna utakavyokuja kuwa tishio katika safari yao au nafasi zao au ndoto zao za baadaye.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
UKIMTUNZA WEWE NA MKEWE INATOSHA.NYIE WAWILI MNATOSHA SANA KUMTUNZA.NA PIA SI UNAMTUNZA NA KAFULILA?WEWE UMEPEWA JUKUMU LA KUTUNZA WANAUME TU.WATUNZE SISI MAMBO HAYO YA UCHOKO TUNAYAPINGA.SO WATUNZE WEWE INATOSHA SANA.
 
Moderators tafadhalini unganisheni hizi nyuzi za Lucas Mwashambwa za kumsifia Paul Makonda.
 
Back
Top Bottom