Pre GE2025 Makonda amjibu Waziri Bashe, asema atamhoji sababu yeye ndiye anakitafutia kura chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usilazimishe mambo yasiyo na maana. Huo unaoutetea ni upuuzi, yaani upuuzi wa katiba.
Kama unajua ni upuuzi wa katiba sasa wewe unasumama na katiba ipi kutetea?. Nani amekukataza kutumia akili
 
🔊👍🙏
 
🤣🤣🤣
 
Kama unajua ni upuuzi wa katiba sasa wewe unasumama na katiba ipi kutetea?. Nani amekukataza kutumia akil
Kwani waziri anaapa kuilinda katiba ipi?
Na hapo wabunge wenu waapa kuilinda katiba ipi?
Hapo ndiyo utajua upuuzi upo wapi.
Mimi natumia akili, wewe hutumii na mnaweza kuwa wengi lakini hakuondoi ukweli.
 
Makonda akiwa ziarani siku ya jana amemjibu waziri wa kilimo Bashe kuwa atamhoji tu kwasababu yeye ndio anakitafutia kura chama hicho.
Akili ndogo inabishana na akili kubwa! Ni vyema makonda akajitafakari na anavyojiinua na ajue wazi kuwa hakuna anachokifanya zaidi ya usanii!
 
Makonda ni jicho angavu la chama ligusalo pale panapotwezwa, kudhulumiwa, kubezwa, aidha kusahaulika.
 
Huwezi shindana na CHAMA CHAKO KILICHOKUPA UBUNGE AU UTEUZI
 
Kwi Kwi Kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…