Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Bashe aache Kiburi na kujifanya anajua
Ni kweli anajua, ifike mahali mamlaka ya chama na serikali yatofautishwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashe aache Kiburi na kujifanya anajua
Kama unajua ni upuuzi wa katiba sasa wewe unasumama na katiba ipi kutetea?. Nani amekukataza kutumia akiliUsilazimishe mambo yasiyo na maana. Huo unaoutetea ni upuuzi, yaani upuuzi wa katiba.
🔊👍🙏
Bashe ni akili kubwa, ni mtu makini anayejua kusimamia anachoamini, kubwa zaidi sio mnafiki.
Makonda ni akili ndogo, mtu anayeweza kutumika vizuri na baada ya matumizi akatupwa mbali. Yeye hajali, yeyote mwenye madaraka anaweza kumtumia kwa kazi yoyote.
Hakuwezi kuwa na vita kati ya akili kubwa na akili ndogo, hapo ni mmoja anaanika ujinga wake na mwingine anaanika ubora wake.
🤣🤣🤣Nimegundua kuwa Wabongo wanaweza kusema kitu ni conspiracy theory, halafu yale madai kwamba ni conspiracy theory nayo yakasemwa kuwa ni conspiracy theory 🤣🤣🤣
Yani unaweza kusikia StudentTeacher anasema "Makonda anaigiza yule" halafu ukasikia Kiranga anakwambia "Yule StudentTeacher anaigiza kusema Makonda anaigiza".
Yani kama hadithi ndani ya hadithi na kwenye hadithi ndani ya hadithi kuna ndoto ndani ya ndoto, kwenye kitabu cha Alfu Lela U Lela, kwenye kisiwa kilicho ziwani ndani ya ziwa lililo kisiwani.
Ukimaliza lazima uchoke sana.
Hii nchi ngumu hii.
Kwani waziri anaapa kuilinda katiba ipi?Kama unajua ni upuuzi wa katiba sasa wewe unasumama na katiba ipi kutetea?. Nani amekukataza kutumia akil
Duuh!....Hivyo ndivyo siasa za dunia ya sisiem zilivyo, minaona hata wakiuana ni sawa tu
Akili ndogo inabishana na akili kubwa! Ni vyema makonda akajitafakari na anavyojiinua na ajue wazi kuwa hakuna anachokifanya zaidi ya usanii!Makonda akiwa ziarani siku ya jana amemjibu waziri wa kilimo Bashe kuwa atamhoji tu kwasababu yeye ndio anakitafutia kura chama hicho.
Ni msomali hana cha kuputezaBashe aache Kiburi na kujifanya anajua
Kuwachotea udongo wamwage!Inabidi wacholewe mstari chini tuone Nani zaidi
Kati ya Bashe na Bashite nani mwenye akili kubwa na nani bwege PIMBI tuu?😡Bashe aache Kiburi na kujifanya anajua
Makonda ni jicho angavu la chama ligusalo pale panapotwezwa, kudhulumiwa, kubezwa, aidha kusahaulika.
Bashe ni akili kubwa, ni mtu makini anayejua kusimamia anachoamini, kubwa zaidi sio mnafiki.
Makonda ni akili ndogo, mtu anayeweza kutumika vizuri na baada ya matumizi akatupwa mbali. Yeye hajali, yeyote mwenye madaraka anaweza kumtumia kwa kazi yoyote.
Hakuwezi kuwa na vita kati ya akili kubwa na akili ndogo, hapo ni mmoja anaanika ujinga wake na mwingine anaanika ubora wake.
Hata aliyemteua na kumpa uwaziri wa kilimo naye ni mwarabu 😂Ni msomali hana cha kuputeza
Huwezi shindana na CHAMA CHAKO KILICHOKUPA UBUNGE AU UTEUZI
Bashe ni akili kubwa, ni mtu makini anayejua kusimamia anachoamini, kubwa zaidi sio mnafiki.
Makonda ni akili ndogo, mtu anayeweza kutumika vizuri na baada ya matumizi akatupwa mbali. Yeye hajali, yeyote mwenye madaraka anaweza kumtumia kwa kazi yoyote.
Hakuwezi kuwa na vita kati ya akili kubwa na akili ndogo, hapo ni mmoja anaanika ujinga wake na mwingine anaanika ubora wake.
Kwi Kwi KwiImekuwa wiki ya kutupiana vijembe kati ya mahasimu wa muda mrefu Husein Mohamed Bashe na Paulo Christian Makonda, mahasimu hao wa muda mrefu toka 2014 wakiwa katika makundi ya kuusaka urais wa 2015, Makonda ambae ni kijana wa Sitta adui mkubwa wa Mzee Lowassa walianza kutupiana maneno makali muda mrefu.
Makonda akiwa ziarani siku ya jana amemjibu waziri wa kilimo Bashe kuwa atamhoji tu kwasababu yeye ndio anakitafutia kura chama hicho.
Bashe alinukuliwa mwisho wa wikii hii akiwajia juu wafanyabiashara wa sukari kwa kufanya lobbying kwa Paul Makonda ili aondoe bei elekezi.
Rai Yangu: Ni vyema vyombo vya maamuzi visiingilie ugomvi huu kwasababu ni kutunishiana misuli kwa vijana wala hakuna jambo serios sana, asitokee wa kuonewa maana wote wanaviziana muda mrefu tu, asionewe mtu.