Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

Wajinga wajinga wanaompinga Makonda, siku wazinduke kwenye ujinga wao wamuunge mkono Makonda, TANZANIA tutaànza kupiga hatua kubwa sana kimaendeleo

Nchi hii inacheleweshwa na wazembe, wala rushwa pamoja na wapiga majungu maofisini
 
Hivi hivi kiutani Makonda atakuja kuwa King Maker au Ndio awe King mwenyewe maana Kuna vacuum kubwa sana yeye anapita humo kuonekana anafaa na anatatua matatizo hata kama anaigiza kumbe wajinga wengi wanaona ndio mtu
 
Ni kweli kabisa, ukombozi wa blacks kwenye maisha ni ngumu sana.. unafiki umekithiri. Makonda anajitahidi kupunguza maumivu ya wanyonge, lakini bado wanampiga vita..
Inaumiza sana unaona mtu kahangaika ngazi kibao kupata haki yake ila bado anahangaishwa na hana pa kueleza sasa kapatikana mtu anawasikiliza anakuja mtu anambeza??
 
Hii nchi imefika papaya sana. Imagine waziri analia bungeni kuwa kuna jaji anashirikiana na tapeli la ardhi. Na huyo jaji bado yupo kazini. Anko Magu mbona angekuwa amesharuka naye...na rightly so.

Mifumo na taasisi zetu karibu zote zimegubikwa na siasa, nepotism, rushwa na kufanya kazi kwa mazoea. Watu wanapoteza haki zao za msingi kisa tu hawana pesa au connection. Ndiyo maana watu kama Makonda wanaonekana ni wakombozi wao.

Kama nchi tumeshapotea njia na watu hawana mahali pa kukimbilia. Ni ama ukimbilie kwa Makonda kama huna ubavu wa kupambana na wenye pesa ili kupata haki zako; au ukimbilie kwa Mwamposa kama huna bima ya afya. Huku vijana wetu wengi hawana ajira. We are a ticking bomb wallahi hata kama watu ni mbumbumbu kiasi gani kuna siku watajichokea tu maana hatuwezi kuendelea namna hii.

 
Kaka vilaza Na Majizi ndio yanayo mchukia bwana Makonda.
 
Hakuna majitu manafiki dunia hii kama matanzania hayajui hata yanataka nini
Hata Magufuli alihatarisha maisha yake bure tu. Matanzania siyo ya kupigania. Ni ya kuacha tu mpaka maisha yawe magumu kabisa kabisa yashindwe kula hata mlo mmoja huku majamaa yakiiba mabilioni na matrilioni bila hofu labda itafika mahali yataona uchungu na kuamua kujikomboa.

Hakuna mtu mnafiki kama Mtanzania aisee!
 
Hata kwa salary scale aliyoko sasa inawezekana, posho zitakuwa nyingi za kutosha tu. Kumbuka wakati tunapigania uhuru kazi nyingi zilikuwa za kujitolea....sana sana watu walizawadiwa mlo na vinywaji.
 
Atafanya kama Katibu wa Mkuu wa Mkoa. Akithibitishwa anakuwa Afisa Mkuu wa Serikali na mshahara unapaa kutoka TGS D aliyonayo mpaka TGS G.

Kala shavu
 
  • DPS ataombewa kibali utumishi na tamisemi
  • Aliyepo atapelekwa kwenye idara za RS
  • Marekebisho ya mshahara mpk mwaka mwingine wa Fedha
 
Kaka umeongea kitu kizito mpk nimetamani zawadi uliyoniahidi mimi ndo nikupe wewe..!!
Watanzania tukiacha unafiki na uvivu tutafika mbali sana.
 
Kwani Doto Biteko anafanya kazi gani na kwa salary slip gani!? Achaa kujitoa ufahamu ndg!!
 
Kaka umeongea kitu kizito mpk nimetamani zawadi uliyoniahidi mimi ndo nikupe wewe..!!
Watanzania tukiacha unafiki na uvivu tutafika mbali sana.
Ilete tu hiyo zawadi kwa kweli.

Watanzania wala hatujui tunachotaka. Na kuwapigania Watanzania inataka kujitoa ufahamu sana. Huoni akina Tundu Lisu mpaka wamechoka. Hovyo tu!
 
1. Hongera kwa huyo mtu kwa utendaji kazi mzuri hadi kupanda cheo
2. Kwa kifupi makonda hana mamlaka ya kumpandisha mtu cheo, maana yeye sio mwajiri kiutendaji labda afanye hvyo kwa niaba ya mamlaka toka kwingne na sio kwa utashi wake
3. Hakuna cheo cha msaidizi wa mkuu wa mkoa kilichopo ni katibu tawala mkoa(RAS)
4. Ushauri tu kwa huyo aliyepanda cheo, ni heri aendelee kuwa ktk cheo chake cha muundo kuliko kwenda kuwa chawa wa mkuu wa mkoa maana makonda akipigwa chini ajue atapata tabu sana
 
MAKONDA NI ZAIDI YA RAIS.ANATUFAA SANA.
Rais Samia ndiyo kamrudisha,kwa hiyo Mama anajua kila kitu,hata.wizara ya ardhi watu walikua wanamtaka Mama amrudishe Kabudi,lakini Mama akasoma alama za.nyakati akamleta Silaa na Kabudi akasahaulika! MAMA Samia anajua tuumpeni nafasi apange suff yake ya utendaji wa haki kwa wananchi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…