Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna majitu manafiki dunia hii kama matanzania hayajui hata yanataka niniNi kweli kabisa, ukombozi wa blacks kwenye maisha ni ngumu sana.. unafiki umekithiri. Makonda anajitahidi kupunguza maumivu ya wanyonge, lakini bado wanampiga vita..
Inaumiza sana unaona mtu kahangaika ngazi kibao kupata haki yake ila bado anahangaishwa na hana pa kueleza sasa kapatikana mtu anawasikiliza anakuja mtu anambeza??Ni kweli kabisa, ukombozi wa blacks kwenye maisha ni ngumu sana.. unafiki umekithiri. Makonda anajitahidi kupunguza maumivu ya wanyonge, lakini bado wanampiga vita..
Hii nchi imefika papaya sana. Imagine waziri analia bungeni kuwa kuna jaji anashirikiana na tapeli la ardhi. Na huyo jaji bado yupo kazini. Anko Magu mbona angekuwa amesharuka naye...na rightly so.Hivi watanzania tuna laana ama hii nchi imejaa machizi???Hivi kero tunazoona watu wanalia hawajapata haki unakuta bado kuna mbulukenge inakuja kutukana Makonda...dah.. Mnataka viongozi wasio wasikiliza sometime unaona ni bora tu viongozi wanavyoyaburuza ma tz maana akili ni sifuri bin zero
Kaka vilaza Na Majizi ndio yanayo mchukia bwana Makonda.Hivi watanzania tuna laana ama hii nchi imejaa machizi???Hivi kero tunazoona watu wanalia hawajapata haki unakuta bado kuna mbulukenge inakuja kutukana Makonda...dah.. Mnataka viongozi wasio wasikiliza sometime unaona ni bora tu viongozi wanavyoyaburuza ma tz maana akili ni sifuri bin zero
Hata Magufuli alihatarisha maisha yake bure tu. Matanzania siyo ya kupigania. Ni ya kuacha tu mpaka maisha yawe magumu kabisa kabisa yashindwe kula hata mlo mmoja huku majamaa yakiiba mabilioni na matrilioni bila hofu labda itafika mahali yataona uchungu na kuamua kujikomboa.Hakuna majitu manafiki dunia hii kama matanzania hayajui hata yanataka nini
Hata kwa salary scale aliyoko sasa inawezekana, posho zitakuwa nyingi za kutosha tu. Kumbuka wakati tunapigania uhuru kazi nyingi zilikuwa za kujitolea....sana sana watu walizawadiwa mlo na vinywaji.Habari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.
Swali langu atafanya kazi kama nani pale na kwa salary scale ipi?
Siasi sio uadui
Jumanne njema
Atafanya kama Katibu wa Mkuu wa Mkoa. Akithibitishwa anakuwa Afisa Mkuu wa Serikali na mshahara unapaa kutoka TGS D aliyonayo mpaka TGS G.Habari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.
Swali langu atafanya kazi kama nani pale na kwa salary scale ipi?
Siasi sio uadui
Jumanne njema
Walikuoa?Zamani nilikuwa na sifa Kama Makonda ,wengi walinisifia na wachache wakaniona Sina akili Ila nilikuja kuumbuka badae na aibu kubwa mpaka hapo sikuwa na hamu na kuwa mjuaji kuliko wakubwa wangu
Kaka umeongea kitu kizito mpk nimetamani zawadi uliyoniahidi mimi ndo nikupe wewe..!!Hii nchi imefika papaya sana. Imagine waziri analia bungeni kuwa kuna jaji anashirikiana na tapeli la ardhi. Na huyo jaji bado yupo kazini. Anko Magu mbona angekuwa amesharuka naye...na rightly so.
Mifumo na taasisi zetu karibu zote zimegubikwa na siasa, nepotism, rushwa na kufanya kazi kwa mazoea. Watu wanapoteza haki zao za msingi kisa tu hawana pesa au connection. Ndiyo maana watu kama Makonda wanaonekana ni wakombozi wao.
Kama nchi tumefika pabaya sanana watu hawana mahali pa kukimbilia. Ni ama ukimbilie kwa Makonda kama huna ubavu wa kupambana na wenye pesa au ukimbilie kwa Mwamposa kama huna bima ya afya. Huku vijana wetu wengi hawana ajira. We are a ticking bomb wallahi hata kama watu ni mbumbumbu kiasi gani kuna siku watajichokekea tu maana hatuwezi kuendelea namna hii!
View attachment 3002231
Kwani Doto Biteko anafanya kazi gani na kwa salary slip gani!? Achaa kujitoa ufahamu ndg!!Habari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.
Swali langu atafanya kazi kama nani pale na kwa salary scale ipi?
Siasi sio uadui
Jumanne njema
Ilete tu hiyo zawadi kwa kweli.Kaka umeongea kitu kizito mpk nimetamani zawadi uliyoniahidi mimi ndo nikupe wewe..!!
Watanzania tukiacha unafiki na uvivu tutafika mbali sana.
Rais Samia ndiyo kamrudisha,kwa hiyo Mama anajua kila kitu,hata.wizara ya ardhi watu walikua wanamtaka Mama amrudishe Kabudi,lakini Mama akasoma alama za.nyakati akamleta Silaa na Kabudi akasahaulika! MAMA Samia anajua tuumpeni nafasi apange suff yake ya utendaji wa haki kwa wananchi!!MAKONDA NI ZAIDI YA RAIS.ANATUFAA SANA.