The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho...
Inashangaza snHao mawaziri nao wajinga. Mnaagizwa na mjinga mnakubali?
Na kweli alienda mkuu, jioni kuna mahali nilipishana na msafara wake akiwa anatoka huko, nikabaki najiuliza maswali mengi sanaHao mawaziri nao wajinga. Mnaagizwa na mjinga mnakubali?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi waziri na katibu muenezi wa chama, nani yuko juu ki mamlaka?Na kweli alienda mkuu, jioni kuna mahali nilipishana na msafara wake akiwa anatoka huko, nikabaki najiuliza maswali mengi sana
Eti kwani anaetatua hiyo migogoro ni waziri??waziri akifika ofisini na yeye anaategemea kuambiwa fact na watendaji....so watendaji ndo kila kitu hata utembee uchi kama hawajataka kukupa hiyo document ya umiliki hupati kituMaigizo tu hayo.
Msako wa kura kupitia matatizo ya mwananchi ambayo yametengenezwa na uongozi mbovu wa ccm!
Sisi wa huku Naliendele waziri atakuja lini?Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
Mdogo wangu Makonda Aka Bashite mwana wa Daudi.Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
Siyo wajinga bali hao wanaccm wanaoongopewa mchana kweupe na wanashangilia kudanganywa ndiyo wapumbavukabisa. Migogoro ambayo ipo kwa miongo kadhaa kuwa inaweza kumalizwa kwa dakika tu huu utoto kabisa kwa vile wanaccm wote ni mazwazwa wameamini.Hao mawaziri nao wajinga. Mnaagizwa na mjinga mnakubali?
Huko CCM ni ulimwengu wa kambale kila mtu ana sharubu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi waziri na katibu muenezi wa chama, nani yuko juu ki mamlaka?
Katibu mwenezi ni cheo kikubwa ndani ya CHAMA na waziri ni cheo kikubwa serikalini, nani mkubwa itategemea wamekutana wapi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi waziri na katibu muenezi wa chama, nani yuko juu ki mamlaka?
Sasa unataka tukusaidiaje?? Mbona mnapost vitaarifa vya kiboya? Huku ni kwa ma great thinkers jamani ukipost kataarifa kapime umuhimu wake!Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
Angeratua mwenyewe walisema anatatua pao kwa papo....nyami...banaaaKatibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
Haha hii nchi kila mtu ana sharubu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi waziri na katibu muenezi wa chama, nani yuko juu ki mamlaka?