Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

CHADEMA wanajipambanua kuwa ni MAADUI wa SERIKALI kama haitoshi MKO kwenye vita na RC ....sasa mnatafuta sympathy ya nini? UNDAVA UNDAVA
 
Usifananishe mtandao huu na mambo yenu ya kisenge sio kila mtu humu ndani anafagilia ujinga kwa hyo kama umetumwa humu jioni ukienda kuripoti wambie kabisa wenzio msituharibie humu kama uko bored sepa sio kutoa vitisho vyenu vya kihayawani hapa
 
Usifananishe mtandao huu na mambo yenu ya kisenge sio kila mtu humu ndani anafagilia ujinga kwa hyo kama umetumwa humu jioni ukienda kuripoti wambie kabisa wenzio msituharibie humu kama uko bored sepa sio kutoa vitisho vyenu vya kihayawani hapa

Kama ni dudu basi ni mende kabisa sio tu hana akili bali ananuka pia, kuambiwa ukweli ni vitisho? hivi ni nani anayeweza kuvumilia uvunjwaji huu wa sheria kwa utaratibu wa kulindana kwa fake ids? haufagilii ujinga ungekuwa ushakemea, useng.e ni wako unayeoneka wazi kummis huyo basha wako aliekitandani.
 
Ona sasa kauli zenu.. nyie watu vipi mbona shida tupu hamnaga hoja zaid ya vitisho. Na huwez lazima watu wa kupende hebu potelea mbali.
 
Anaanza vipi kumpa pole wakati mlishahitimisha kuwa yeye ndio muhusika wa shambulio la Mh Lissu?sipati picha hayo matusi yake endapo angethubutu kutoa hiyo pole😀
kwakuwa kila mtu yupo huru, msimpangie.


Kama alisema mtu atumbuliwe mbele ya kadamsi basi asikie amekufa anakwenda na vimkono vyake kama mchawi Luciffer ni nini kitamshinda kutoa pole................. Huyu ana laana ya warioba kabisa
 
Unategemea mmoja wa wahusika waliokabidhiwa kazi ya kumuua Lissu atoe pole kweli? Huyu pia ndiye muhusika wa kupotea kwa Ben Saanane na kutekwa na kuteswa kwa Roma na wenzie.
Kwa kweli kama ndio ilivyo ni mbaya sana kuendana na umri dhamira yake itamweka kubaya kwani pamoja na haya mambo yanafanyika gizani lakini kwa binadamu wa kawaida anateseka Moyoni.

Kwani inafika mahali kila mtu ataanza kuongea mwenyewe bila kuongeleshwa usicheze na roho ya mtu hii ni hukumu moja kwa moja hapa hapa duniani
 
Reactions: BAK
Ha haha ha ha ha ha mbavu zangu wewe unadhani ule mfungashio wa nyuma una tofauti na kazi ya Zarina?? halafu mnaulizia kwanini hana mtoto........... Hebu nipisheni mie nikabiliane na hali yangu
 
Ona sasa kauli zenu.. nyie watu vipi mbona shida tupu hamnaga hoja zaid ya vitisho. Na huwez lazima watu wa kupende hebu potelea mbali.

Kama unalijua huwezi lazimisha mtu akupende kwa nini ulazimishe RC ampende TL? kutokumpenda mtu lini imekuwa excuse ya kuvunja sheria?
 
Kwenye nchi yenye utawala wa sheria huyu muuaji angekamatwa baada ya kusema haya, lakini kwa Tanzania ya dhalimu anapeta tu!


 
Kwahiyo zari atimke? Unaweza kuta wewe ndo makonda unatuzingua na akaunt fake hahahah
Wewe unataka akae aletewe magonjwa? Ushaona mwanaume ana chepuka na condom havai anaenda kavu tuu...Ukimwi huu hautaishaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…