Makonda Kama ataleta mambo ya Dikteta katili Magufuli safari hii tutagawana viwanja wapinzani tumechoka kuonewaTegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote, huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
Uongozi ukiwa dhaifu mnasema watu wanaiba pesa za Serikali, uongozi haufai na hii nchi inataka Rais jasiri sijui nini nini..!!! Wakija hao watu jasiri na wathubutu, wazarendo watetea haki, mnawasema tena ni dikteta wasiofaa, waTanzania mchawi wenu alisha kufaTegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote.
Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
Kizunguzungu ndio kinaanzia hapa..Kwani upinzani wanashiriki tena uchaguzi bila katiba mpya?
Si walisema bila katiba mpya na time huru hawashiriki uchaguzi?
Suala siyo kuogopana! Ni wakati mnafiki mmoja anayejiita rahis! anawadanganya wananchi wake na mavi ya 4rs huku akileta muuaji na kiongozi wa wauaji atakaowatuma. Tunajua yakitokea ya mwendazake ni yake!Makonda ni mwenezi tu wa chama, wenye mamlaka ya uchaguzi ni tume, Rais, Dola na serikali kwa ujumla.
Kumuogopa Makonda ni dalili nyingine ya upumbavu wa Wawatanzania, yaani mtu mmoja Makonda sijui mwenezi wa chama ndio awasumbue msiwe na chakumfanya wakati yupo tu huko mtaani.
anajukikana na katiba ya CCM. Jamaa ni mdogo sana, hata ukimgomea live hakufanyi lolote sana sana ni kukusemea kwenye vikao vya chama.Hivi katiba yetu inamtambua makonda? Tupeni kifungu kinachompa hio nguvu.
Hulka sio za Makonda wala sio za Magufuli. Ni hulka na mipango kamili ya CCM.Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote.
Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni Magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
Hebu nitajie mwizi wa kweli wa pesa za umma toka ccm aliyefikishwa mahakamani wakati wa Magufuli.Uongozi ukiwa dhaifu mnasema watu wanaiba pesa za Serikali, uongozi haufai na hii nchi inataka Rais jasiri sijui nini nini..!!! Wakija hao watu jasiri na wathubutu, wazarendo watetea haki, mnawasema tena ni dikteta wasiofaa, waTanzania mchawi wenu alisha kufa