Makonda ana hulka zile zile za Magufuli. Uchaguzi ujao tegemeeni yale yale ya 2020

CHADEMA inapofukuzana na mizimu kwa uzushi, ni dhahiri ni ukosefu wao wa dira na dhamira.

Wanamlaumu Hayati J.P.M kwa kila kitu! Their favorite ghost, kama vile mwendesha bodaboda anayekimbizana na upepo.

Ikiwa CHADEMA inakimbiza mizimu, na ile ya Magufulism, basi kukimbizana huko wa CHADEMA ni wazi wanakuja kugota.

Unajua wanavyomuita wakiwa majukwaani na humu mitandaoni
Ati...

"Mwendazake"

For Magufuli's ghost is not what it seems, its just a figment of CHADEMA's dreams!

So why blame Magufuli, for CHADEMA'S own quest?

Ni sawa na kulilaumu jua kwa joto la magharibi.

CHADEMA wajitathmini, they should look inward and see that the real 'mzimu' they're chasing is their own fantasy.
 
Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote.

Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni Magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
Unahitaji elimu. Context (mazingira) ndio kila kitu. Hapa Tanzania nguvu ya kufanya maovu iko kwa Rais peke yake. Hata huyo Magufuli mwenye “magufulism” yake angefufuka leo, angekuwa mdogo kama piriton mbele ya Rais wa JMT.

Hivyo, Makonda ni mmoja wa houseboys tu wa Rais akifanya yale anayotumwa na boss wake. Kama ni tahadhari, basi wapinzani (hata makada wa CCM) wanatakiwa wajihadhari na Rais wa JMT, period. Yeye ndiye mwenye uwezo wa kutumia magufulism au la.
 
Kama kweli ana umagufulism basi anatufaa, ccm wamteue awe mgombea urais ili aje kuwashughulikia ,, maana Sasa nchi imerudi zama za Musa
download.jpg
 
Bado Kuna watu wanawaza uchaguzi kwenye mazingira haya? Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura.
 
Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote.

Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni Magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
Mategemeo makubwa ni kufanya maboresho zaidi, kutengeneza sheria, kanuni, taratibu na mifumo mizuri zaidi, wazi zaidi, ya haki na inayoaminika zaidi kwa wananchi wote, kitaifa na kimataifa.....
Mungu Ibariki Tanzania...
 
Mkuu uko sahihi! Hii move haiko bure!
Kama anaweza kuwapa maagizo mawaziri, Wakuu wa Mikoa na kuwaelekeza cha kufanya kama yeye ndiye Mkuu wa nchi! Haitakuwa vigumu kuwaamrisha Wakurugenzi kutowatangaza Wagombea wa Upinzani walioshinda katika majimbo!
 
Kweli kabisa kijani haitatoka hata dakika moja ni mpaka atokee mwanamapinduzi
 
Mkuu uko sahihi! Hii move haiko bure!
Kama anaweza kuwapa maagizo mawaziri, Wakuu wa Mikoa na kuwaelekeza cha kufanya kama yeye ndiye Mkuu wa nchi! Haitakuwa vigumu kuwaamrisha Wakurugenzi kutowatangaza Wagombea wa Upinzani walioshinda katika majimbo!
Wewe umeelewa vizuri huyu ameletwa kwa lengo maalum hata wakurugenzi watakaoteuliwa 2025 watateuliwa kimkakati zaidi
 
Mategemeo makubwa ni kufanya maboresho zaidi, kutengeneza sheria, kanuni, taratibu na mifumo mizuri zaidi, wazi zaidi, ya haki na inayoaminika zaidi kwa wananchi wote, kitaifa na kimataifa.....
Mungu Ibariki Tanzania...
Maboresho hayo yanaimbwa kila siku na hayajawahi kutokea ,wewe kama unasubiri mabadiliko yoyote kupitia ccm hii ,sahau ,mabadiliko ni wewe mwenyewe kubadili fikra zako
 
shukrani sana 🔥,
tusonge mbele sasa kwa bidii sana ili hatimae tufike tunapostahili kuwa mapema bila kumtegemea au kungoja mipango ya mwingine....

be positive and focused like that
 
CHADEMA inapofukuzana na mizimu kwa uzushi, ni dhahiri ni ukosefu wao wa dira na dhamira.

Wanamlaumu Hayati J.P.M kwa kila kitu! Their favorite ghost, kama vile mwendesha bodaboda anayekimbizana na upepo.

Ikiwa CHADEMA inakimbiza mizimu, na ile ya Magufulism, basi kukimbizana huko wa CHADEMA ni wazi wanakuja kugota.

Unajua wanavyomuita wakiwa majukwaani na humu mitandaoni
Ati...

"Mwendazake"

For Magufuli's ghost is not what it seems, its just a figment of CHADEMA's dreams!

So why blame Magufuli, for CHADEMA'S own quest?

Ni sawa na kulilaumu jua kwa joto la magharibi.

CHADEMA wajitathmini, they should look inward and see that the real 'mzimu' they're chasing is their own fantasy.
Chadema imeingiaje hapa? Wewe hata mumeo akishindwa kukufokoa vizuri hadi akutoe maji utailaumu Chadema,wacha ubwege
 
Walisema hawatashiriki ni chadema siyo wapinzani, wapinzani Zitto etc wamesema watashiriki.
Si walisema bila katiba mpya na time huru hawashiriki uchaguzi?
Wamebadili tena msimamo?

Ama wanategemea maajabu yatatokea?
M
 
Chadema imeingiaje hapa? Wewe hata mumeo akishindwa kukufokoa vizuri hadi akutoe maji utailaumu Chadema,wacha ubwege
Ad Hominem!

Jikite kwenye hoja.

Mambo ya Babaako muwachie mwenyewe ajisoti, manake hadindi sikuhizi.

Kwani CHADEMA sio chama cha siasa.?
 
Uongozi ukiwa dhaifu mnasema watu wanaiba pesa za Serikali, uongozi haufai na hii nchi inataka Rais jasiri sijui nini nini..!!! Wakija hao watu jasiri na wathubutu, wazarendo watetea haki, mnawasema tena ni dikteta wasiofaa, waTanzania mchawi wenu alisha kufa
Hao ni wanufaika wa mfumo wanupigaji ndio mana hawaeleweki.
 
Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote.

Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni Magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
Ntafurahi sana kama atamkata nepi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote.

Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni Magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
Makonda ni kiongozi shupavu, wengine wengi huko saccos hata CCM ni watawala wachumia matumbo tupu.
 
Back
Top Bottom