The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Kwahyo makonda anafaa mkuu?Hii nchi inahitaji watu wakatili tu kuiendesha maana Kuna wajinga wengi wanaichezea hii nchi
Wewe unaonaje mkuu? Hafai makonda
Hili swali utajibiwa na members wengine...Wewe unaonaje mkuu? Hafai makonda
Bora tu tuongozwe na mkono wa chuma maana Hawa wa kutubembeleza ndo matatizo yanazidiKwahyo makonda anafaa mkuu?
Makonda ndiyo nani?Na haya ma game makonda anayaweza sana.
Baba yako mkuu.Makonda ndiyo nani?
Mimi naona makonda anatufaa mkuuKama ni Tabia zote basi acha ziwe zote
Kwa kweli inabidi tupate raisi kama Adolph hilterBora tu tuongozwe na mkono wa chuma maana Hawa wa kutubembeleza ndo matatizo yanazidi
Ngoja tuone mkuu.Hili swali utajibiwa na members wengine...
Kwanini mkuu? Mbona makonda ndo anatufaaUkichanganya na akili ndogo, unapata kituko
Aseee kata moja huko manyara wanakunywa maji ya matope kabsa makonda akawaita wale viongozi unaona mpaka wanatetemeka na mpaka wazir akapigiwaStaili na kasi ambayo makonda ameamua kwenda nayo ni hiyo ambayo wananchi wengi tunaitaka. Haiwezekani kero walizonazo wananchi zikae miaka mingi bila ufumbuzi Kama kwamba hatuna viongozi Mh.Makonda endelea hivo hivo Watanzania wazalendo wengi tupo nyuma yako kwa dua na Sala.
Sema anakufaa sio kutufaa. Makonda hana hata uwezo wa kuwa mtendaji wa kata. Wewe unaangalia kelele za Jukwaani sisi tunaangalia uwezo halisi bila kuwekwaKwanini mkuu? Mbona makonda ndo anatufaa
Baba yako ndio nani mkuu?Baba yako mkuu.