Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul makonda yupo manyara Leo na Leo analala manyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za magufuli anazo kwa asilimia zote.
Na haya ma game makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa makonda akamuita mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunnamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama magufuli?
Blatant lie

Please mpe magu heshima yake
 
Blatant lie

Please mpe magu heshima yake
Yaani hoja mkuu,
Ni kwamba makonda anazo zile tabia za magufuli kama alivyokuwa anafanya.

Amesema sasahiv mambo yamebadilika hawawezi kuendelea kufanya kazi ofisini na sasa watakuwa wanasikiliza matatizo ya wananchi
 
Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul makonda yupo manyara Leo na Leo analala manyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za magufuli anazo kwa asilimia zote.
Na haya ma game makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa makonda akamuita mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunnamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama magufuli?

Magufuli ni chata nyingine kabisa tangu akiwa Waziri...

Makonda anapelemba tu
 
Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul makonda yupo manyara Leo na Leo analala manyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za magufuli anazo kwa asilimia zote.
Na haya ma game makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa makonda akamuita mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunnamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama magufuli?
K.A.M.P.E.N.I...
Bado muda wa kumnadi....
 
Sasa ataimaliza nchi mwaka gani kana anataka tembea kila kona. Then tutajuane kama ni PR stunts or not. Tunahitaji mifumo ndo ifanye kazi, siyo mifumo ipalalyse alafu tusubiri mtu mmoja atembee nchi nzima. Tutachelewa sana
 
Back
Top Bottom