Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuona sasa,wanasubiri Hadi mtu mwingine aje awambie Sasa hao ni viongozi au takataka hovyo kabisa.Aseee kata moja huko manyara wanakunywa maji ya matope kabsa makonda akawaita wale viongozi unaona mpaka wanatetemeka na mpaka wazir akapigiwa
Blatant lieHabari wanajamvi?
Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul makonda yupo manyara Leo na Leo analala manyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.
Ninaona kabisa zile itikadi za magufuli anazo kwa asilimia zote.
Na haya ma game makonda anayaweza sana.
Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa makonda akamuita mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunnamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.
Hivi makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama magufuli?
Paul makonda mkuu.Baba yako ndio nani mkuu?
Naona paid parrots mmeanza mapema sanaWewe unaonaje mkuu? Hafai makonda
Yaani hoja mkuu,Blatant lie
Please mpe magu heshima yake
makonda anafaa kabsaSihitaji Mtu ila nahitaji kiongozi atakaeleta mabadiliko na Demokrasia.
KAMA MAKONDA ANAWEZA HAYO BASI SAWA ATAPATA KURA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
How old are you?Paul makonda mkuu.
Naona ana tabia za hayati magufuli anatufaa sana
Sema watu wazima wengi hovyo sikuhizi.How old are you?
Naona watoto mmekuwa wengi sana hapa 😁
Sio mbaya kwa wiki 100k si habaNaona paid parrots mmeanza mapema sana
Msijisahau tu
Nimekuuliza Makonda ni nani umekosa jibu.anachofanya makonda kutofautiana na wengine waliopota
Habari wanajamvi?
Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul makonda yupo manyara Leo na Leo analala manyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.
Ninaona kabisa zile itikadi za magufuli anazo kwa asilimia zote.
Na haya ma game makonda anayaweza sana.
Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa makonda akamuita mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunnamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.
Hivi makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama magufuli?
K.A.M.P.E.N.I...Habari wanajamvi?

Anaiga...anatembelea ⭐️...Magufuli ni chata nyingine kabisa tangu akiwa Waziri...
Makonda anapelemba tu
We tulia zuwena, hizo tabia za malaya, wenzako wote wameleewa kama ujaelewa si lazima uchangie mdogo wangu.Nimekuuliza Makonda ni nani umekosa jibu.
Nimekuuliza umri wako umekosa jibu.
Nenda kalale we sasa we mwana.
Kwanini mkuu?K.A.M.P.E.N.I...
Bado muda wa kumnadi....
Lakini makonda anayo ile spirit ya magi mkuu au unaonaje?Magufuli ni chata nyingine kabisa tangu akiwa Waziri...
Makonda anapelemba tu
Sina TV mkuu..Kwanini mkuu?
Huoni anayofanya huko?
wanasema ogopa sana mjinga mwenye confidence.Ukichanganya na akili ndogo, unapata kituko