Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

Yaani hoja mkuu,
Ni kwamba makonda anazo zile tabia za magufuli kama alivyokuwa anafanya.

Amesema sasahiv mambo yamebadilika hawawezi kuendelea kufanya kazi ofisini na sasa watakuwa wanasikiliza matatizo ya wananchi
Baba hata moja

Magu wa a man of his words and actions
 
Anafaa
Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?
Anafaa twende naye 2025
 
Staili na kasi ambayo makonda ameamua kwenda nayo ni hiyo ambayo wananchi wengi tunaitaka. Haiwezekani kero walizonazo wananchi zikae miaka mingi bila ufumbuzi Kama kwamba hatuna viongozi Mh.Makonda endelea hivo hivo Watanzania wazalendo wengi tupo nyuma yako kwa dua na Sala.
Hizi dua na sala zenu mbona hazikumuokoa magufuli, acheni kumdanganya
 
Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?
Ubongo wako haufanyi kazi.Kwa hiyo ni sifa kufanana na "maliyemu"?
 
Back
Top Bottom