Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

Mwarobaini wa yote hayo ni katiba mpya itakayotokana na maoni ya wananchi na Sheria zisizo na upendeleo katika jamii,
 
Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?
Issue kama ya huyu mama kama haijawahi kukuta huezi elewa maana

Imagine kulipwa haki hadi atokee kiongozi wa juu zaid?
 
Magufuli, na Makonda wote hawafai.
Ni kweli wanafanana mambo mengi

Wote ni wauwaji,
Wote elimu zao ni za kufoji (mmoja PhD, mwingine cheti cha kidato cha nne.)
Wote wana ushamba na ulimbukeni wa madaraka
Wote hawana uwezo kujibu hoja ni watu wa vihoja
Wote ni watu wabinafsi na wakabila
Wote hawajui chochote kuhusu uchumi
Wote ni watu wanaoaminiwa na kundi la wajinga wasiojitambua, wasiojua haki zao na wanaofata mkumbo.
Wote ni watu wanaojikweza, wenye dharau kwa wananchi na waojiona miungu watu kwasababu ya vyeo.
Wote hawajui chochote kuhusu siasa za Mambo ya nje na diplomasia.
Wote ni watu wanaopenda kung'ang'ania madaraka wakiyapata.
Wote ni watu wa siasa nyepesi za majitaka

Ongeza..
 
Sema anakufaa sio kutufaa. Makonda hana hata uwezo wa kuwa mtendaji wa kata. Wewe unaangalia kelele za Jukwaani sisi tunaangalia uwezo halisi bila kuwekwa
uwezo halisi ni upi??

kiongozi kazi yake sio kushika fyekeo ni kusimamia na kuongoza wanaofyeka.
kama watu wanakata umeme na wanapoitwa waeleze sababu wanaanza kujamba jamba,unapata taswira gani???

yule ni mwenezi wa chama,jukumu lake kuu ni kumulika utekelezaji wa ilani ikiwa zinakwenda sawa,kuna uzito mhusika anatakiwa aeleze mara moja.
tumeshuhudia uozo uozo maeneo mengi tu,kuja kujua kumbe ni uzembe wa wasimamizi wala sio serikali.kwa ujumla.
 
Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?
una hamu ya kuokota viloba vyenye miili ya..............beach na mwabwepande nini?
 
uwezo halisi ni upi??

kiongozi kazi yake sio kushika fyekeo ni kusimamia na kuongoza wanaofyeka.
kama watu wanakata umeme na wanapoitwa waeleze sababu wanaanza kujamba jamba,unapata taswira gani???

yule ni mwenezi wa chama,jukumu lake kuu ni kumulika utekelezaji wa ilani ikiwa zinakwenda sawa,kuna uzito mhusika anatakiwa aeleze mara moja.
tumeshuhudia uozo uozo maeneo mengi tu,kuja kujua kumbe ni uzembe wa wasimamizi wala sio serikali.kwa ujumla.
Katibu wa itikadi na uenezi wa chama - kazi yake ni nini?
 
wanasema ogopa sana mjinga mwenye confidence.
mjinga mwenye comfidence!!!!!!!!!!!!!!!!!da!!!!umetisha mwanangu rasta,umenikumbusha zamani wakti bado nipo skonga{sekondari] pale kilimanjaro boyz,,,,{miaka hiyo],tilikuwa 2naenda kujifunza kung-fu porini,baada ya mazoezi tunavuta ile ki2 ya jamaika{siku izi sivuti],,,basi bhana,kumbe wanakijiji weshaenda kumtonya headmaster,basi ile 2unavuta akaja mzee mmoja kavaa pama alaf anatembelea fimbo{kumbe alikuwa head-master anaekti mazee hatukujua],,basi wacha 2mpige mikwara mzee wa wa2,,jamaa ye2 mmoja anaitwa tesha akaenda kumkwida!!,eh headmaster akaona asipojidhirisha atapigwa kweli,,,mara paaaaaaaaaaaaaaaap akavua pama lake!!! mwanangu 2likuwa wadogo kama kipele!!!2karudi skuli kwa gwaride,kesho yake tukasimamishwa shule mpaka tuje na madiii ze2,,,anyway,wazee walipokuja 2lipata mkon"oto kama mandonga anavochapwaga!!!! da!!"umenikumbusha mbali sana man!!
 
Queen Sheba kaamua kupiga chini team meno ya tembo kaamua kucheza na team jiwe maana jiwe Bado anaishi miongoni mwa wanyonge
 
Back
Top Bottom