Makonda anafanya kazi za Kinana na Dkt. Nchimbi. Je, ndiyo utaratibu wa chama?

Kwa sasa anatumika kama Condom kutokana ina Umuhimu ila baada ya Oktoba, 2025 Condom itatupwa rasmi baada ya kutumika ipasavyo kuanzia mwaka huu 2024 na hatokuwa na chake tena labda tu aonewe Huruma apewe Ubunge au Ubalozi tofauti na Cheo cha VP au PM ambacho Kadanganywa na Wapumbavu na Wanafiki kuwa atateuliwa.
 
Genta nchi iko pabaya umeme haupo ukipatikana quality yake mbovu,bei za vitu ziko juuu,huduma maofisini za ovyo maofisa wapo kumsifia mama aendelee kutawala na wao waendelee kuiba na kuzembea kazini,Kwa ujumla kipindi hiki ni kigumu sana kwetu raia.
 
Muache apige kazi anasaidia sana ana mbinu mbadala
Watu wengi bado wanatamani JPM style of Leadership. !!
Makonda anacheza na Akili za hao watu na kwa muda huu mfupi tu ameshaonekana kwamba hadhibitiki tena na yeyote !
 
Hata wewe usipowajibika nyumbani kwako atawajibika mkeo!! Mama hawezi kuwaacha watoto wafe kwa njaa eti tu Kwa sababu baba ni Mlevi asiyewajibika.
 
Watu wengi bado wanatamani JPM style of Leadership. !!
Makonda anacheza na Akili za hao watu na kwa muda huu mfupi tu ameshaonekana kwamba hadhibitiki tena na yeyote !
Sasa hivi Kinana na hata Nchimbi wanaogooa kufanya ziara make mapokeo yake yanaweza kuwa anguko kwao

Makonda amewashika pabaya
 
Unateseka ukiwa wapi goroko were!!
 
Mkuu usiseme sana. Uteuzi wake pengine ni "watershed" moment katika harakati za mageuzi ya nchi hii. "Tumpongeze" mama kwa uteuzi wake! Sijui unanielewa?
 
Sasa hivi Kinana na hata Nchimbi wanaogooa kufanya ziara make mapokeo yake yanaweza kuwa anguko kwao

Makonda amewashika pabaya
Kabisa !!
Imeisha hiyo !
Siasa nihesabu !
Amewakamata kweri kweri !
Itabidi wawe wanyenyekevu tu hamna jinsi !!
 
Watu wengi bado wanatamani JPM style of Leadership. !!
Makonda anacheza na Akili za hao watu na kwa muda huu mfupi tu ameshaonekana kwamba hadhibitiki tena na yeyote !
Leadership by high propaganda?
 
Mtanyooka tu mafisadi awamu hii. Unadhani anafanya hayo bila ruhusa?
 
Leadership by high propaganda?
Siyo propaganda,hatukuona project ya stigra,reli ya sgr,makao makuu Dom Kila kitu kilikuwa kinaenda inavyotakiwa bei zilikuwa nzuri,barabara zilijengwa,hata mama alisema kazi iendelee, wewe useme propaganda? Chuki haziwezi kubadili ukweli,pole vyeti feki,mishahara hewa nk.
 
Always remember the English saying: The devil is in the details. Kazi za serikali hazipimwi kwa macho! “Kazi iendelee” ni porojo ya kisiasa kuwaweka sawa wajinga wasioelewa kitu.

Jiulize, kwa nini Magufuli alizuia vyombo vya habari kufuatilia na kutoa habari huru za miradi na shughuli za serikali isipokuwa zile anazotoa yeye na taasisi za serikali pekee.

Mtu anayefanya kazi za kutukuka “zinazoonekana” anakuwaje na wasiwasi zikifanyiwa uchunguzi na kutolewa taarifa pana na vyombo vya habari?
 
Unahitaji chombo cha habari kujua shirika la ndege limefufuliwa?huzioni?

Unahitaji chombo cha habari kujua serikali imehamia Dodoma? Unahitaji chombo cha habari kuona nguzo za SGR?

JINGA KABISA WEWE
 
Unahitaji chombo cha habari kujua shirika la ndege limefufuliwa?huzioni?

Unahitaji chombo cha habari kujua serikali imehamia Dodoma? Unahitaji chombo cha habari kuona nguzo za SGR?

JINGA KABISA WEWE
Shirika la ndege limefufuliwa, umeziona ndege! 🤔

Dah. Kweli ignorance is bliss. Endelea kusherehekea.
 
Kama wahusika wanapwaya acha afanye tu.
 
Kwani Kinana na Nchimbi wanasemaje?
Anafanyakazi ya mwenyekiti wake wa chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…