Makonda anaposema hatalipa kisasi, kwani alifanyiwa mambo gani mabaya na kina nani?

😊😊
Labda kuna ambao wanataka nafasi yake. Au uwepo wake duniani kwa wengine wanaona ni kero hivyo watataka kumdhuru
Ninachokiamini ni kwamba,kauli aliyoitoa imejaa chuki kubwa na visasi.Anaongea kuanzia mwisho kurudi mwanzo kwa anayeamini ni adui yake.Muda hutoa sauti kuu.
 
Ninachokiamini ni kwamba,kauli aliyoitoa imejaa chuki kubwa na visasi.Anaongea kuanzia mwisho kurudi mwanzo kwa anayeamini ni adui yake.Muda hutoa sauti kuu.

Sasa hapo kwenye visasi ndio mimi nimeachwa. Yaani yeye kakosewa jambo gani kama kiongozi alafu wananchi wasijue? Jambo hilo ambalo ndilo anakiri hadharani kuwa hatalipa kisasi. Hapo ndipo mimi nimeachwa.

Kwa mfano Lisu, watanzania wote na Watu duniani tunajua alipigwa Risasi. Yeye akisema hatalipa kisasi anauhalali kwa sababu Watu wote tunajua kilichotokea.

Lakini haiwezekani mtu labda kama mimi niseme zitalipa kisasi wakati ninyi hamjui nini nimefanyiwa.
 
Mpe muda.Ataongea kwa lugha ya picha zenye rangi nzurinzuri.Ni kama hadithi ya mfalme mwenye masikio marefu kama masinia ya ubwabwa.
 
Kwanza niliamini ule ujumbe ulikuwa kwa GSM.

Halafu wanaelewana wenyewe watu wa system.

Pia kwa sasa hana ubavu wa kulipa kisasi hata akitaka kufanya hivyo.

System imemlinda na system imemsamehe. "Reconciliation".

Sasa aingie kwenye "Resilience" kama alivyoanza jana na Mbowe, kwenye tatizo alifanye liwe fursa, kwa nia njema kabisa.

Reform na Rebuilding itakuwa nyepesi kwake akiyafata hayo mawili ya mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…