Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
Hicho kiwanda kinataka utashi tu,
Jeshi linaweza kuifufua kwa kusimika mitambo ya kisasa.
Malighafi tunayo,tunakwama wapi?
Siasa ziwekwe pembeni,kazi ifanyike.
watapata wapi wafanyakazi?Hicho kiwanda kinataka utashi tu,
Jeshi linaweza kuifufua kwa kusimika mitambo ya kisasa.
Malighafi tunayo,tunakwama wapi?
Siasa ziwekwe pembeni,kazi ifanyike.
Hivi kuna raw material nyingine ya kutengeneza matairi zaidi ya rubber?.
Maana unaweza kufufua General tyre kwa gharama kubwa halafu tyre zikashindwa kucompete na soko la tairi za kichina zilizojaa mtaani.
Kwanini tusifanye research ya zao la mpira na kuanza kulima mpira? Tukishakuwa na uhakika na raw materials ndio sasa tunaanza kuzarisha matairi.
Sekta binafsi katika sera za ubinafsishaji ndiyo waliokwamisha kiwanda hicho.Anapoteza muda, hao waliomzunguka ndio wakwamishaji wakuu, nawawasi hata hawaelewi anaongea nini. toka lini serikali ikaendesha kiwanda je sekta binafsi hawajaona hiyo fursa?.
kama sector binafsi wameshindwa kukiemdesha basi hiyo biashara itakua ni ngumu labda kwenye ushindani au pia inawezekana haina faida ukifananisha na mtaji wa uwekezajiSekta binafsi katika sera za ubinafsishaji ndiyo waliokwamisha kiwanda hicho.
Kwa hao nyumbu sina imani nao sana kutokana na historia ya viwanda vyao vya magari visivyokua!
Hapo wangelikabidhiwa SUMA Jkt wangelitoboa na kuleta matokeo chanya.