Makonda anatoa maagizo mazito kila siku, ni lipi limetekelezwa hadi sasa au ni maigizo?

Makonda anatoa maagizo mazito kila siku, ni lipi limetekelezwa hadi sasa au ni maigizo?

Wanabodi,

Nimekaa na kufatilia ziara za Famous RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Watakuja kukutusi Sasa hivi! Hawawezi kujibu hoja, ni matusi Kisha wataitaja CHADEMA na Mbowe na Lissu, ndio mwisho wao hapo
 
famous RC DSM maana yake nini?

Rudi kwanza darasani ukajiweke sawa haka kakingereza kanakudhalilisha!
 
20231107_062714.jpg
 
Wanabodi,

Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Jamaa anashindwa sana kutafsiri cheo chake.Akiwa RC aligombana na Bunge,Mawaziri na ukaribu wake na JPM akaona yeye ni zaidi ya PM na akawa kama Rais wa wakuu wa mikoa.Yako maagizo ya Chama Yanapaswa kutolewa na Katibu mkuu kwa niaba ya Chama.Yeye kazi yake ni kuratibu,kuineza na kuisemea itikadi ila sio mtendaji mkuu
 
#Tezi dume
#Wajane waliotelekezwa Dar
#Mashoga
#Madawa ya kulevya
#Kupambana na upinzani
#Kuwadhalilisha walimu Dar
#Machinjio vingunguti
#Kuvamia Clouds
#Kupambana na Gwaji Boy
#Kugombea ubunge Kigamboni

Na list inaendelea, sijawahi kumuona huyu zero brain kufanikisha hata jambo moja alilolianzisha, ni kupayuka tuu...

Hata akisema "hakuna mtu anaekula bata na kufaidi maisha kama Mimi" jiandae baada ya muda kumuona akilia kama mwanamke hadharani.
 
Wanabodi,

Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Ifike mahali watanzania muwe serious na maisha! Ukute unamaliza bundle yako kufuatilia hizo takataka!
 
Back
Top Bottom