Makonda anatoa maagizo mazito kila siku, ni lipi limetekelezwa hadi sasa au ni maigizo?

Wanabodi,

Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Anatafuta Kiki, makonda ni jibwa lisilo na meno
 
Wanabodi,

Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Makonda ni comedian tu,ni joka la Kibisa
 
Wanabodi,

Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Yule mama aliyeporwa ngombe tisa kachangiwa hela za kununua wengine, alishindwa kulipia marehemu mochwari kapewa hela na ambulance akazike, makonda ndio anamaliza shida za kweli za watanzania,
 
Yaani ni vichekesho vya hatari, anatoa maagizo, kisha ukienda kwenye mamlaka za utekelezaji wanakuambia wanafanya kazi kwa mujibu wa Sheria, na sio kufuata maagizo ya kwenye majukwaa ya siasa! Wakati huo huo aliyetoa maelekezo Hana habari na maagizo ya awali, bali anapakia punda na kuendelea na maigizo sehemu nyingine 😂
 
Yule mama aliyeporwa ngombe tisa kachangiwa hela za kununua wengine, alishindwa kulipia marehemu mochwari kapewa hela na ambulance akazike, makonda ndio anamaliza shida za kweli za watanzania,
Walioporwa ng'ombe na mali nyingine nchi ni hii wengi, Sasa ukisema shida za watanzania zinamalizwa na huo usanii sijui unamaanisha Nini. Huyo muhalifu aliyepata platform ya kujisafisha anafanya siasa za kizamani ile mbaya.
 
Sasa ulitaka afanyeje hebu toa ushauri wako
 
Matatizo ya watanzania yanatatuliwa kwa serekali yenye uwajibikaji, sio kwa hayo maigizo ya huyo mfungwa mtarajiwa.
 
Jamaa anashindwa sana kutafsiri cheo chake.Akiwa RC aligombana na Bunge,Mawaziri na ukaribu wake na JPM akaona yeye ni zaidi ya PM na akawa kama Rais wa wakuu wa mikoa.Yako maagizo ya Chama Yanapaswa kutolewa na Katibu mkuu kwa niaba ya Chama.Yeye kazi yake ni kuratibu,kuineza na kuisemea itikadi ila sio mtendaji mkuu
Anajiona ni rais mwenza!
 
Wanabodi,

Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Hakuna lolote ni ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom