bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Kama umefuatilia ziara fuatilia na maagizo.Wanabodi,
Nimekaa na kufatilia ziara za Famous RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Watakuja kukutusi Sasa hivi! Hawawezi kujibu hoja, ni matusi Kisha wataitaja CHADEMA na Mbowe na Lissu, ndio mwisho wao hapoWanabodi,
Nimekaa na kufatilia ziara za Famous RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Nje ya swali langu,
Famous Ni Mama yakofamous RC DSM maana yake nini?
Rudi kwanza darasani ukajiweke sawa haka kakingereza kanakudhalilisha!
Umekimbia kwenye Kimasiahara umehamia huku? HahahahaNI UONGO WAKO
Siasa ni Maisha.Umekimbia kwenye Kimasiahara umehamia huku? Hahahaha
Afuatilie maagizo au maigizo?
Jamaa anashindwa sana kutafsiri cheo chake.Akiwa RC aligombana na Bunge,Mawaziri na ukaribu wake na JPM akaona yeye ni zaidi ya PM na akawa kama Rais wa wakuu wa mikoa.Yako maagizo ya Chama Yanapaswa kutolewa na Katibu mkuu kwa niaba ya Chama.Yeye kazi yake ni kuratibu,kuineza na kuisemea itikadi ila sio mtendaji mkuuWanabodi,
Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Ifike mahali watanzania muwe serious na maisha! Ukute unamaliza bundle yako kufuatilia hizo takataka!Wanabodi,
Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?