KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Anatafuta Kiki, makonda ni jibwa lisilo na menoWanabodi,
Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Makonda ni comedian tu,ni joka la KibisaWanabodi,
Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Yule mama aliyeporwa ngombe tisa kachangiwa hela za kununua wengine, alishindwa kulipia marehemu mochwari kapewa hela na ambulance akazike, makonda ndio anamaliza shida za kweli za watanzania,Wanabodi,
Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Yaani ni vichekesho vya hatari, anatoa maagizo, kisha ukienda kwenye mamlaka za utekelezaji wanakuambia wanafanya kazi kwa mujibu wa Sheria, na sio kufuata maagizo ya kwenye majukwaa ya siasa! Wakati huo huo aliyetoa maelekezo Hana habari na maagizo ya awali, bali anapakia punda na kuendelea na maigizo sehemu nyingine 😂Wanabodi,
Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Walioporwa ng'ombe na mali nyingine nchi ni hii wengi, Sasa ukisema shida za watanzania zinamalizwa na huo usanii sijui unamaanisha Nini. Huyo muhalifu aliyepata platform ya kujisafisha anafanya siasa za kizamani ile mbaya.Yule mama aliyeporwa ngombe tisa kachangiwa hela za kununua wengine, alishindwa kulipia marehemu mochwari kapewa hela na ambulance akazike, makonda ndio anamaliza shida za kweli za watanzania,
Sasa ulitaka afanyeje hebu toa ushauri wakoWalioporwa ng'ombe na mali nyingine nchi ni hii wengi, Sasa ukisema shida za watanzania zinamalizwa na huo usanii sijui unamaanisha Nini. Huyo muhalifu aliyepata platform ya kujisafisha anafanya siasa za kizamani ile mbaya.
Sasa ulitaka afanyeje hebu toa ushauri wako
Mkuu usipende kugusa mshono makada wapo humu na wanatukana tu utaitwa mbowe sasa hiviAnaowapa maagizo wanamtazama tu penye sa anapoweka tha
Anajiona ni rais mwenza!Jamaa anashindwa sana kutafsiri cheo chake.Akiwa RC aligombana na Bunge,Mawaziri na ukaribu wake na JPM akaona yeye ni zaidi ya PM na akawa kama Rais wa wakuu wa mikoa.Yako maagizo ya Chama Yanapaswa kutolewa na Katibu mkuu kwa niaba ya Chama.Yeye kazi yake ni kuratibu,kuineza na kuisemea itikadi ila sio mtendaji mkuu
Usitekeleze uje uone
Kila MTU ana Uhuru wa kuongea mkuuMkuu usipende kugusa mshono makada wapo humu na wanatukana tu utaitwa mbowe sasa hivi
Hakuna lolote ni ujinga mtupuWanabodi,
Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?