Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

Bashe hawezi kutumbuliwa kwasababu ya kelele za Makonda labda awe na shida ktk utendaji wake. Samia is so smart siyo yule mliyemzoea huko nyuma. Hii ya piga kazi aliyomwambia jukwaani ni lugha ya kisiasa, lakini Samia anajua na anaheshimu sana, sheria, taratibu na misingi ya uongozi.

Yule mkurugenzi wa Pangani anaetolewa mfano alikuwa na makando kando yake kiutendaji si kweli kwamba alitumbuliwa kwasababu ya Makonda, it was just a coincidence.
 
Chama kina nguvu kuliko serikali makonda ndie boss wa mawaziri na wakuu wa mikoa,wakuu wa vyombo vyote vya ulinzi na wote wanaoteuliwa na raisi,bashe asilete ujuaji labda kama kachoka kula Kodi zetu akicheza atamfata Ally Hapi shambani
Hivi huyo ziro na katibu mkuu Nani mkubwa?
 
Bashe zaidi ya usomali na kinga ya Rostam Aziz ana kitu gani cha ziada.
Hakuna waziri wa serikali aliyepiga kazi kazi hata nusu tu ya bashe. CCM wote ni mizigo angalau huyo jamaa anapapatua na ana Nia ya kufanya kitu sema system ina wehu
 
Makonda si bosi ya mawaziri, wote uliowataja wana report kwa rais, makonda si rais. Na wana uwezo wa kumgomea ku report na asifanye chochote. Hana nguvu kisheria
Wateuliwa wote wa raisi ni wanachama wa CCM.
Na makonda ndie boss wa chama,
 
Umenena kweli!!!!
 
Na kama itakuwa hivyo basi nitazidi kuiona mamlaka ya uteuzi haina weledi hata kdg kama inaweza kumuondoa mtu mwenye akili ktk kazi yake sababu ya watu wenye akili ndogo!
 
Na kama itakuwa hivyo basi nitazidi kuiona mamlaka ya uteuzi haina weledi hata kdg kama inaweza kumuondoa mtu mwenye akili ktk kazi yake sababu ya watu wenye akili ndogo!
Kuna watendaji sio watanzania Ila wameteuliwa ngazi za maamuzi hii ni Kwa mujibu WA report ya CDF
 
Makonda ana Kissasi na Bashe toka wakati wa team lowassa ……alikuwa akitukana hivi hivi …Juzi anajifanya kuomba msamaha Monduli
 
Inashangaza sana kwa Makonda kujinadi kuwa yeye ndie anatafutia ccm kura as if ushindi wa ccm unaletwa na mtu mmoja na sio team effort ya watu wengi!
Hata hawa ccm wanapoiba kura hushirikiana watu wengi sio kazi ya mtu mmoja!!
Hivi hii confidence ya Makonda kutoka kwa Samia inatokana na nini hasa ? Hasa ukitambua kuwa huyu jamaa ni zero brain!
 
Wasugusu kwa fikra mbuzi hamjambo!
 
Makonda kama mwenezi majukumu yake yapo kikatiba Kwa katiba ya CCM sio katiba ya nchi.

Bashe kama waziri majukumu yake yapo kikatiba Kwa katiba ya nchi..wenye mamlaka na waziri Ni watumishi wa serikali sio watumishi wa chama.

Kazi ya makonda Ni kupeleka ripoti ya utekelezaji wa ilani za chama sio kuwakalipia na kuwadhihaki W viongozi wa serikali.
Makonda bado anaota ubabe,utemi,sifa na hatamadaraka.
 
Nitambea uchi kutoka Mwenge mpk Mbagala endapo Makonda makalio makubwa atasababisha Bashe akili kubwa akatumbuliwa uwaziri.

Lkn sitashangaa Bashe akisabanisha Makonda makalio makubwa akapotea na kuanza kuishi kwa kujiificha kama digidigi tena
 
Unaijua nguvu ya Rostam Azizi na Kinana?
 
Haitakuwa kuwa mala ya kwanza kwa Bashite na kundi lake kumteka Bashe na kwenda kumpiga lakini Bashe bado ni ng'ang'ari na aliwaanika Bungeni Wauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…